Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na baba halisi ,kiupande nahisi natenda nisivyotaka tendewa upande mwingine naona nikae mbali hayanihusu.
ADVICE DON JOKE
Anachoreka na nani? Which means kuna watu wengi wanafahamu. Basi wacha hao wamuambie. Wewe kama rafiki subiri aje kwako kuomba ushauri baada ya kuambiwa!
Tatizo kubwa lipo kwa ukimuambia kuliko usipomuambia!
Kama unaona huwezi kabisa kukaa kimya
basi muambie mtu ambaye unajua atamuambia...bila wewe kuhusishwa...
fanya kama umesikia tetesi...na wewe unatafuta kuhakikisha...
naextract ushauri mzuri kwamba niyaache hayanihusu,ila choice of language sio ya hekimaMmmhhh... kwel waliomaliza drs la 7 wapo mtaani telee... Tutakomaaa na hizi post maaandazii kila sikuu kibao!
mwanaume makini mwenyekujitambu anadill na mambo yake pekee na sio ya watuu... maana hayakuhusuuu unajua mapatano yao na je akikwambia mie ndio nimemruhusu na nalitambua uoni utaaibika miaka yotee... na jamaa akamwambie mkewe na mke anakwambia kama na wewe unatamani njoo nikupe maana ni wivu wa kitoto,kingeseee unakusumbua utajibu nini? Fuata mambo yakoo ya ngoswe mwachie ngoswee. Mtizame muanzilishi wa neno MALOFA hivi kati ya aliowaambia na yeye nani LOFA?
Kuna point ya msingi hapo. Ila kama ni rafiki yako wa ukweli, unavumiliaje kuona akichoreka? Huwezi kuwa na amani hata kidogo.
Kama unaona huwezi kabisa kukaa kimya
basi muambie mtu ambaye unajua atamuambia...bila wewe kuhusishwa...
fanya kama umesikia tetesi...na wewe unatafuta kuhakikisha...
Tatizo ni kwamba atamwambia mkewe halafu wataungana na kukusuta haswa uonekane mbeya,kuna wanaume wanakuaga na tabia za ajabu kweli.