Siri nzito juu ya rafiki yangu

Fanya yako wewe,maisha ya watu yanakuhusu nini.
 
Acha umbeya, utavunja ndoa ya watu bure!!!
 
Kama unaona huwezi kabisa kukaa kimya
basi muambie mtu ambaye unajua atamuambia...bila wewe kuhusishwa...
fanya kama umesikia tetesi...na wewe unatafuta kuhakikisha...
 
Mwambie,muweke huru. Kama kweli ni a friend in deed, a friend in need mwambie.
 
Only the mother knows the father of the kid. Ths includes you and I.
Suppose the guy is impotent & he has a hand in the 'plan'?
Si utakuwa 'the bad guy'?
 
Mwambie ili umsaidie kunyoosha maisha yake. Aweze kuishi pure life na lililonyooka
 
kama unaona utakuwa mmesaidia basi mwambie...
ila kama unaona haitakuwa hivyo basi usimwambie.
 
Mmmhhh... kwel waliomaliza drs la 7 wapo mtaani telee... Tutakomaaa na hizi post maaandazii kila sikuu kibao!

mwanaume makini mwenyekujitambu anadill na mambo yake pekee na sio ya watuu... maana hayakuhusuuu unajua mapatano yao na je akikwambia mie ndio nimemruhusu na nalitambua uoni utaaibika miaka yotee... na jamaa akamwambie mkewe na mke anakwambia kama na wewe unatamani njoo nikupe maana ni wivu wa kitoto,kingeseee unakusumbua utajibu nini? Fuata mambo yakoo ya ngoswe mwachie ngoswee. Mtizame muanzilishi wa neno MALOFA hivi kati ya aliowaambia na yeye nani LOFA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…