Damned if you do, damned if you don't. Do what you think you'd want him to do, if you was on the flip side.
Hakuna haja ya kumuambia...na akija kufahamu ni rahisi tu kumwambia sikujua! Ukishaanza kujifikiria ningekuwa mimi utajikuta unaropoka tu kila kitu kwa watu!!!
Kwa hali hii ni vyema kutumia ile principle ya Socrates:
- Is it true?
- Is it Kind?
- Is it necessary?
Nina rafiki yangu ambaye amezaa mtoto mmoja na mkewe, mimi nimepata ushahidi wa baba yake halisi natamani kumwambia ila anatabia ya kumwambia kila kitu mkewe na mtoto anapokuwa anazidi fanana na baba halisi ,kiupande nahisi natenda nisivyotaka tendewa upande mwingine naona nikae mbali hayanihusu.
ADVICE DON JOKE
kiukweli sina amani ila nimeaua kuwa socrates
Kuna point ya msingi hapo. Ila kama ni rafiki yako wa ukweli, unavumiliaje kuona akichoreka? Huwezi kuwa na amani hata kidogo.
Anachoreka na nani? Which means kuna watu wengi wanafahamu. Basi wacha hao wamuambie. Wewe kama rafiki subiri aje kwako kuomba ushauri baada ya kuambiwa!
Tatizo kubwa lipo kwa ukimuambia kuliko usipomuambia!