mzalendoalltz
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 828
- 709
Kama umegundua kitu, katika watia nia wote wa sisiemu waliotamka neno mabadiliko wote walikatwa ambao walisema watafuata mfumo wa ccm waliachwa, fuatilia kwa makini hotuba zao youtube.
Kwa hiyo mapadlock ni geresha tu.
Kuna mpango umepangwa na mafisadi wa sisiemu kuwa mapadlock akishashinda tu wanabadilisha muundo wa chama na hivyo kumfanya mwenyekiti au rais kupokea maazimio ya chama katika kila analofanya na kama akienda kinyume wanamwekea shinikizo la kuangusha serikali, amkeni mliolala ambao hajui ni kwann walimweka magufuli mzee wa maamuzi Magumu
Kwa hiyo magufl ni geresha tu.
ambao hajui ni kwann walimweka mapdlock mzee wa maamuzi magumu, ni ili mumpe kura yenu halafu soon watabadilisha utaratibu au katiba ya chama.
Kuwa makini usiwe kama nyumbu wanaofuatana bila kujua wanafuata hatari au la ,
Wanajua wananchi wamekasirishwa na ufisadi mkubwa sana ndani ya Sisiemu ambao hausafishiki
Pili walijua Lowasa atahama chama kwa hiyo wataitumia hiyo kama silaha ya kujiosha
Lakini mjue ufisadi wa SISIEMU ni mtandao mkubwa saana ambao ni hatari sana kwa taifa letu kuweni makini na acheni ushabiki.