Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,346
- 26,143
Wewe unasumbuliwa na mawazo bangi?kwa nini usisifie serikali ya ccm inayowezesha nyinyi kufanya uhuni mtakavyo na kuwatizama,kwa taharifa yako padri ikulu ataisikia mpaka mauti yanamkuta.
Wewe unasumbuliwa na mawazo bangi?kwa nini usisifie serikali ya ccm inayowezesha nyinyi kufanya uhuni mtakavyo na kuwatizama,kwa taharifa yako padri ikulu ataisikia mpaka mauti yanamkuta.
kijana 7000 per day masaa24 ndo masharti yake hakuna kulala naona umekuja kuinjoy ajira mpya za lumumba
Mkuu, umesahau kuwa nchemba tu peke yke anafanya viongozi na wafuasi wote wa cdm washindwe kulala usingizikuchaMbunge mmoja wa CDM ni sawa na wabunge 50 wa CCM.
Mkuu, jana waziri nchimbi kawabomoa sana. Sijui kama watakuwa na pa kutokeaNapatwa na wakati mgumu wanaposema Chadema kushika dola,sio kazi rahisi kama kuingia bungeni na kutoa matusi na kupokea posho yako, ni kazi ngumu kuongoza nchi kaka usijidanganye bado wanahitaji muda mwingi kujipanga.
Usimdhihaki MWenyezi Mungu kiasi hicho. Mungu hana ushabiki wa siasa. Labda kama slaa ndo mungu wenuIla CCM hiki chama hakifai Kbs!! Asante Mungu kunipa uelewa ningejibu nini siku nikifa kwakua kuipenda CCM ni kumchukia mwenye dhiki huku unamchekea!!
Wewe unasumbuliwa na mawazo bangi?kwa nini usisifie serikali ya ccm inayowezesha nyinyi kufanya uhuni mtakavyo na kuwatizama,kwa taharifa yako padri ikulu ataisikia mpaka mauti yanamkuta.
we unamsema mungu wa CHADEMA? Utaona watakavyokushambulia.
kijana 7000 per day masaa24 ndo masharti yake hakuna kulala naona umekuja kuinjoy ajira mpya za lumumba