Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    545
Au ngoja nikuulize swali,...
(a) Gravity ndiyo inasukuma Coin baharini,.mpaka kwenye sakafu ya bahari?

(b)Inashindikana vipi kwa gravity kusukuma mpira mpaka kwenye sakafu ya bahari?

Tatizo ninapokupa maelezo husomi ukaelewa Bali unatumia tu kuni quote.

Ipo hivi;

An object floats when the weight force on the object is balanced by the upward push of the water on the object. The upwards push of the water increases with the volume of the object that is under water; it is not affected by the depth of the water or the amount of water.

Hapo umeona Kuna weight force; Fw = Mg
Na Kuna upward push or upthrust ambayo ni Fb = density × g× Volume displaced.

The upwards push of the water increases with the volume of the object that is under water.

Haya maelezo👆👆 kama umeyaelewa yanaongelea bouyant force.

Kwa coin kuzama ipo hivi:

Ni Kwa sababu coin Ina density Kubwa kuliko ya maji, causing it to sink under the influence of gravity.

Kwann under influence of gravity?
Hapo ndo logic question ambayo inakushinda kujibu hapa inajibiwa ya kwanini denser Inaenda chini.

Ni sawa wewe usukumane na mtu, atakae applied force Kubwa kuliko mwenzake basi atamsukuma kuelekea direction aliyokuwa ana apply force.

Lastly gravity Ina apply hata kwenye non- fluid.
 
Usipate shida iweke hivi:-
1. Maji yana uzito mkubwa kuliko uzito wa mpira,..na ndiyo maana mpira hauzami unaelea.
hapo taja hewa,maana mpira hauzami sababu ya hewa iliyopo ndani.
2. Kwa kuongezea,...Shilingi inazama baharini Kwa kuwa ina uzito mkubwa kuliko maji.
density sio uzito kiswahili,uzito ni weight.
Hiyo ndiyo kanuni ya density... sielewi gravity inahusika vipi.... UZITO WA OBJECTS WITH RESPECT TO EACH OTHER NDIYO UNAFANYA KAZI HAPO.
inabidi uelewe kwamba density ni matokeo ya nguvu ya gravity.sasa embu uliza vitu makini kidogo.
Au ngoja nikuulize swali,...
(a) Gravity ndiyo inasukuma Coin baharini,.mpaka kwenye sakafu ya bahari?
100000%
(b)Inashindikana vipi kwa gravity kusukuma mpira mpaka kwenye sakafu ya bahari?
sababu mpira una hewa ndani ambayo ni nyepesi kuliko maji.

lakini pia hata shepu ya chombo inaweza kuathiri pressure au kasi ya kitu kuzama,ndio maana tukiweka meli majini inaelea sababu shape yake sio rafiki ktk gravity kuact.
 
hapo taja hewa,maana mpira hauzami sababu ya hewa iliyopo ndani.

density sio uzito kiswahili,uzito ni mass.

inabidi uelewe kwamba density ni matokeo ya nguvu ya gravity.sasa embu uliza vitu makini kidogo.

100000%

sababu mpira una hewa ndani ambayo ni nyepesi kuliko maji.

lakini pia hata shepu ya chombo inaweza kuathiri pressure au kasi ya kitu kuzama,ndio maana tukiweka meli majini inaelea sababu shape yake sio rafiki ktk gravity kuact.
Ndio maana nimempa mfano kuwa kama tukichukua maji 25kg tukaweka kwenye beseni na tukachukua mpira wa 30kg wenye hewa ndani yake, je utazama? Kwa sabab kasema kitu kizito kuliko maji kinazama.
 
Usipate shida iweke hivi:-
1. Maji yana uzito mkubwa kuliko uzito wa mpira,..na ndiyo maana mpira hauzami unaelea.

2. Kwa kuongezea,...Shilingi inazama baharini Kwa kuwa ina uzito mkubwa kuliko maji.

Hiyo ndiyo kanuni ya density... sielewi gravity inahusika vipi.... UZITO WA OBJECTS WITH RESPECT TO EACH OTHER NDIYO UNAFANYA KAZI HAPO.

Au ngoja nikuulize swali,...
(a) Gravity ndiyo inasukuma Coin baharini,.mpaka kwenye sakafu ya bahari?

(b)Inashindikana vipi kwa gravity kusukuma mpira mpaka kwenye sakafu ya bahari?

Na unapaswa utambue ya kuwa

density pekee haiwezi kudetermine whether an object sinks or floats.
Gravity inaplay a crucial role katika hii process Kwa sabab inapull objects downwards.

Hata kama object is denser than water, lakin bila gravity, kusingekuwa na downward force ambayo inasababisha sinking.

So, while density affects buoyancy, gravity ultimately determines whether an object sinks or floats.

Usipoelewa hapa, nambie ni sehemu Gani hujaelewa kutokana na haya maelezo usihame.
 
hateeb10
Soma hapa Kwa umakini utaelewa zaidi.

denser object zinashuka downward wakati the less dense one zinaenda upward Kwa sababu ya buoyant force ambayo ina act on them in relation to gravity.

When an object is denser than the fluid it's in, it tends to sink because the weight of the object is greater than the buoyant force pushing it up.

Gravity pulls the denser object downward, and the buoyant force is not strong enough to overcome gravity's pull, so the object sinks.

Conversely, when an object is less dense than the fluid, it tends to float or rise because the buoyant force pushing it up is greater than the weight of the object pulling it down.

Kwahy kwenye hii case,
gravity still pulls the object downward, but the buoyant force is stronger, causing the object to float or rise.

So, it's the balance between the object's weight (determined by its mass and gravity) and the buoyant force (determined by the object's volume and the density of the fluid) that determines whether the object sinks or floats.
 
hateeb10
Zaidi na zaidi:

Nadhani unaijua Newton's first law of motion,
ambayo it sates that An object at rest stays at rest, and an object in motion stays in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an external force.

sasa kama umeielewa hiyo law angalia hii mifano chini.

CASE 1:

Chukulia Mfano huu:
Mfano A;
Chukua object let's say mpira, uweke kwenye ground ambayo ni horizontal.
Actual Mpira utastay at rest as the law says cause hakuna external force ime act upon it.

Mfano B: Chukulia huu mfano wa object (mpira) ambayo imewekwa kwenye air actually itadrop to the ground.

Sasa relate hiyo mifano A na B , utajiuliza kwann kwenye mfano B Mpira ulidrop down, wakat katika mfano A mpira ulistay at rest,
Utapata majibu kutoka kwenye newton's first law kuwa Kuna downward force ime act upon it.
Na hiyo force ikapewa jina la Gravity.

CASE 2:
Chukulia mfano huu:
Mfano 1:👉 Assume umepiga mpira then uka accelerates horizontally kwenye ground ondoa air resistance na obstacles, Kwa kawaida tu Mpira utafikia muda utasimama.

Swali la kujiuliza tu hapa kwanini usimame?
👉Ndo utapata jibu kutoka kwenye newton's law ya kuwa object itaendelea kuwa kwenye motion unless external force ita act upon it, Kwa scenerio hii hapa jibu ni friction force.

Sasa relate na huu mfano:👇

Mfano 2: Umerusha mpira juu straight, Mpira utaenda angani then utakuwa unapungua velocity until velocity inakuwa zero, alafu unaanza ku return back.

Kama unatumia logic utajiuliza kwann Mpira ulienda ukiounguza velocity na ukastop na kuanza kurudi tena?

Ukirelate mfano wa kwanza na wa pili utajiuliza kwann kwenye mfano wa kwanza mpira ulisimama tu na haukurudi kama kwenye mfano wa pili.

Utarudi kwenye newton's first law, kuwa kwenye mfano 1 hakukuwa na force yoyote inayouvuka mpira urudi since ulifikia velocity = 0 (at rest) na hakuna force nyingne.

Lakini Kwa mfano 2 Mpira utarudi Kwa sabab Kuna force Ina act upon it, mpira ulifikia velocity =0 (at rest) lakin kulikuwa na force Ina act upon it downward ndo maana ukaanza kurudi.

Sasa hiyo force ikapewa jina la Gravity.

Hope you will understand.
 
Density, buoyancy, electromagnetism. They explain everything comfortably. Gravity is a hoax.
 
sababu mpira una hewa ndani ambayo ni nyepesi kuliko maji.
Okay.,.Sasa kama unajua hewa kuwa nyepesi kuliko maji ndiyo inapelekea mpira kuwa na density ndogo na kuelea,... kwanini una force kuihusisha gravity hapo?
 
Kwa coin kuzama ipo hivi:

Ni Kwa sababu coin Ina density Kubwa kuliko ya maji, causing it to sink under the influence of gravity.

Kwann under influence of gravity?
Hapo ndo logic question ambayo inakushinda kujibu hapa inajibiwa ya kwanini denser Inaenda chini.

Ni sawa wewe usukumane na mtu, atakae applied force Kubwa kuliko mwenzake basi atamsukuma kuelekea direction aliyokuwa ana apply force.

Lastly gravity Ina apply hata kwenye non- fluid.
Kwenye kuzama Kwa coin baharini,.. gravity inahusika vipi?

Na hapo ushakiri mwenyewe kwamba density ndiyo imehusika.....

Hiyo logic ya kuhusisha gravity mbona hujaisema sasa mkuu,..umeishia kusema 👇🏼

"Kwann under influence of gravity?

Hapo ndo logic question ambayo inakushinda kujibu hapa inajibiwa ya kwanini denser Inaenda chini.
 
Na unapaswa utambue ya kuwa

density pekee haiwezi kudetermine whether an object sinks or floats.
Gravity inaplay a crucial role katika hii process Kwa sabab inapull objects downwards.
Whether an object sinks or floats in a fluid (like water) is determined primarily by two factors: the density of the object compared to the density of the fluid, and the principle of buoyancy.

NB:- Nadhani gravity ni kama tunalazimisha ihusike kwenye objects kuzama lakini haipo.

Einstein ashawahi kusema kwamba "gravity sio force "
 
Ila si umekubali Dunia ni tufe ?
 
Okay.,.Sasa kama unajua hewa kuwa nyepesi kuliko maji ndiyo inapelekea mpira kuwa na density ndogo na kuelea,... kwanini una force kuihusisha gravity hapo?
gravity ni kama uhai ndani ya mwili wako.

unatakiwa uwepo kwanza ndipo organ zote ziendelee kufanya kazi,usipokuwepo moyo utapiga lakini mtu atakuwa hapumui,au ubongo utakuwa unaratibu baadhi ila damu haisambazi hewa mwilini.

tunakwambia hii ni kani inavuta vitu vyote kwenye uso wa ardhi,hewa imeachwa free sababu haina uzito kabisa.

nafikiri unapoona maji unachanganyikiwa kwa sababu sio ardhi ambayo unayoikanyaga😂😂😂.nguvu hiyo inaendelea na asili yake,kama huamini utoe huo mpira ndani ya beseni lako la maji uone utaondoka juu au utarudi chini????
 
Kwenye kuzama Kwa coin baharini,.. gravity inahusika vipi?
ndiyo imeivuta coin kwenda chini huko.
Na hapo ushakiri mwenyewe kwamba density ndiyo imehusika.....
unajua density ni nini mkuu??
density ni kielelezo cha gravity ndugu mbona huelewi???
kila element ina density yake ktk uso wa dunia,kwa sababu kuna gravity inayozivuta zote kwenda chini.
Hiyo logic ya kuhusisha gravity mbona hujaisema sasa mkuu,..umeishia kusema 👇🏼

"Kwann under influence of gravity?
😁😁😁dah.
Hapo ndo logic question ambayo inakushinda kujibu hapa inajibiwa ya kwanini denser Inaenda chini.
wewe jamaa aisee!!!!
 
Kwenye kuzama Kwa coin baharini,.. gravity inahusika vipi?

Na hapo ushakiri mwenyewe kwamba density ndiyo imehusika.....

Hiyo logic ya kuhusisha gravity mbona hujaisema sasa mkuu,..umeishia kusema 👇🏼

"Kwann under influence of gravity?

Hapo ndo logic question ambayo inakushinda kujibu hapa inajibiwa ya kwanini denser Inaenda chini.
Nikuulize swali dogo tu, density ni force?
 
hateeb10
Zaidi na zaidi:

Nadhani unaijua Newton's first law of motion,
ambayo it sates that An object at rest stays at rest, and an object in motion stays in motion with the same speed and in the same direction unless acted upon by an external force.

sasa kama umeielewa hiyo law angalia hii mifano chini.

CASE 1:

Chukulia Mfano huu:
Mfano A;
Chukua object let's say mpira, uweke kwenye ground ambayo ni horizontal.
Actual Mpira utastay at rest as the law says cause hakuna external force ime act upon it.

Mfano B: Chukulia huu mfano wa object (mpira) ambayo imewekwa kwenye air actually itadrop to the ground.

Sasa relate hiyo mifano A na B , utajiuliza kwann kwenye mfano B Mpira ulidrop down, wakat katika mfano A mpira ulistay at rest,
Utapata majibu kutoka kwenye newton's first law kuwa Kuna downward force ime act upon it.
Na hiyo force ikapewa jina la Gravity.

CASE 2:
Chukulia mfano huu:
Mfano 1:👉 Assume umepiga mpira then uka accelerates horizontally kwenye ground ondoa air resistance na obstacles, Kwa kawaida tu Mpira utafikia muda utasimama.

Swali la kujiuliza tu hapa kwanini usimame?
👉Ndo utapata jibu kutoka kwenye newton's law ya kuwa object itaendelea kuwa kwenye motion unless external force ita act upon it, Kwa scenerio hii hapa jibu ni friction force.

Sasa relate na huu mfano:👇

Mfano 2: Umerusha mpira juu straight, Mpira utaenda angani then utakuwa unapungua velocity until velocity inakuwa zero, alafu unaanza ku return back.

Kama unatumia logic utajiuliza kwann Mpira ulienda ukiounguza velocity na ukastop na kuanza kurudi tena?

Ukirelate mfano wa kwanza na wa pili utajiuliza kwann kwenye mfano wa kwanza mpira ulisimama tu na haukurudi kama kwenye mfano wa pili.

Utarudi kwenye newton's first law, kuwa kwenye mfano 1 hakukuwa na force yoyote inayouvuka mpira urudi since ulifikia velocity = 0 (at rest) na hakuna force nyingne.

Lakini Kwa mfano 2 Mpira utarudi Kwa sabab Kuna force Ina act upon it, mpira ulifikia velocity =0 (at rest) lakin kulikuwa na force Ina act upon it downward ndo maana ukaanza kurudi.

Sasa hiyo force ikapewa jina la Gravity.

Hope you will understand.
hateeb10 Sidhani kama umesoma hapa au umesoma umejizima data.

Unajua maana ya force?
Force is a physical interaction that can cause an object to accelerate, deform, or undergo a change in velocity.

Unajua maana ya density?
Density is a measure of how much mass is contained in a given volume.

Sasa ukisema density ndo inafanya vitu vi fall according to newton's first law unamaanisha density ni force kitu ambacho sio kweli,

Hapo ni interaction between gravity na bouyancy ndo vinadecide which direction the denser and less denser objects to go.

Shida yako husomi na kuelewa au unasoma then unaiscape vipengere vya muhimu
 
Whether an object sinks or floats in a fluid (like water) is determined primarily by two factors: the density of the object compared to the density of the fluid, and the principle of buoyancy.

NB:- Nadhani gravity ni kama tunalazimisha ihusike kwenye objects kuzama lakini haipo.

Einstein ashawahi kusema kwamba "gravity sio force "

Nimekuuliza swali hili mara kibao lakn hujawah kulijibu,
Ni nini kinafanya hiyo denser object Imove downward and not other wise?

Kumbuka object kabla haijadrop kulikuwa na direction nne; kulia, kushoto, juu na chini. Na direction zote hizo Kuna hiyo air tena air iliyotop ya hiyo object ni less zaidi ya iliyochini ya hiyo object kwann isiende juu?.
 
Density, buoyancy, electromagnetism. They explain everything comfortably. Gravity is a hoax.
Nipe formula ya bouyancy, na unambie bouyancy ni nn? na effect yake ni ipi?

Kama unasema density ndo inafanya vitu vifall kwahy density ni force?
According to newton's first law of motion
Inasema kitu kitaendelea kubaki at rest or constant motion unless kama Kuna force ita act kwenye hiyo body kufanya either imove au istop au ipunguze au kuongeza mwendo.
 
Kwenye kuzama Kwa coin baharini,.. gravity inahusika vipi?

Na hapo ushakiri mwenyewe kwamba density ndiyo imehusika.....

Hiyo logic ya kuhusisha gravity mbona hujaisema sasa mkuu,..umeishia kusema 👇🏼

"Kwann under influence of gravity?

Hapo ndo logic question ambayo inakushinda kujibu hapa inajibiwa ya kwanini denser Inaenda chini.

Twende taratibu as long as hatutoki kwenye sayansi tutafika tu.

Kwanza tuanze Kwa kukubaliana jambo Moja, je unakubali na kutambua kuwa object haiwezi ku accelerate unless Kuna force Ina act upon it?

Na kama ni jibu ni ndio, je hiyo force ni density? Je density ni force?

Ukishajiuliza haya maswali kama unafikiri sawa sawa nadhani utapata kitu Fulani lakin kama utaendelea kutumia matope hutopata hicho kitu.

Na ukisema ni density inafanya vitu vifall kwann hata kwenye vacuum Bado vitu vinafall?
 
Einstein ashawahi kusema kwamba "gravity sio force "
Unaona Sasa umeanza kukimbilia vitu vingine Ili ujinasue tu😁😁.

Unasema gravity haipo ni tumedanganywa na kukaririshwa then unakuja kusema Einstein ashawahi kusema gravity sio force😁😄.

Kwahy mpka hapo umekubali gravity ipo ila sio force according to Einstein theory of general relativity.

Lakini unajua Einstein alisema nn kuhusu gravity?

According to general relativity, inasema massive objects kama planets and stars kinasababisha spacetime Ifanye curve around them. Hii curvature ina influence motion ya objects zilizokaribu yake, causing them to follow curved paths dictated by the geometry of spacetime.

rYUN9j8ZFyHbFeqDVCPkH5-320-80 (1).jpg

Kwahy Kwa kutumia Einstein kukataa gravity ni umejichanganya sana Kwa sababu hakusema hakuna gravity, alafu hii theory Ina support Dunia na other celestial bodies kuwa spheroid.
 
hateeb10
Zaidi na zaidi:

Utarudi kwenye newton's first law, kuwa kwenye mfano 1 hakukuwa na force yoyote inayouvuka mpira urudi since ulifikia velocity = 0 (at rest) na hakuna force nyingne.

Lakini Kwa mfano 2 Mpira utarudi Kwa sabab Kuna force Ina act upon it, mpira ulifikia velocity =0 (at rest) lakin kulikuwa na force Ina act upon it downward ndo maana ukaanza kurudi.

Sasa hiyo force ikapewa jina la Gravity.

Hope you will understand.
Sawa,.kwenye mfano wa 2:-
1. Ume ignore force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu...Kwasababu ukubwa wa force iliyotumika kuupiga huo mpira kwenda juu,.uta determine how far the ball will go.

2. Automatically, kadri force iliyotumika kuupiga mpira kwenda juu inavyopungua na kuisha... itafanya mpira kushindwa kuendelea kwenda juu.

3. Then,. Kwa kuwa Ile force imeisha,..mpira Kwa kuwa ni denser than air utashindwa kuelea kwenye hewa hivyo utashuka chini,...na sio kwamba gravity ndiyo inaufanya mpira huo urudi chini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom