Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    545
Still.., Teknolojia na Telescope zilizopo zina limit ya kuona.


Nadhani teknolojia ingeruhusu NASA wangeachana na CGI's
Unapenda ushindani,

Pengine haujui telescope hata moja hapo ulipo...

James web telescope unaijua ?
1390537120.jpg
 
Depends on the angle,,,,?
Nimekwambia urudi nyuma one meter,so utakuwa at the same angle....are you that dumb.
Nimekwambia fanya jaribio and siyo u quote....
Optical illusion or other factors,
Yani scientific experiment itamke other factors....
You are so dumb aiseeh, trust me ,so dumb.
So,. unaamini hiyo other factors nimetamka/nimejitungia Mimi?

Kwamba Mimi ni dumb,...? Hayo ni maoni yako Tu kuhusu Mimi and you are free to think chochote.,.
 
Unasema ni fact lakini mwanzo ulisema hakuna hata teknolojia inayofahamu nyota zinamove kwa mtindo upi zaidi ya nadharia na assumptions

Ila muda huu unaonyesha kujua kuhusu nyota za Orions zinavyomove.


Ndio maana nmekuuliza hivi; kwahiyo jibu lako kuhusu hizi nyota za Orions unavyosema zinamove sambamba ni nadharia au assumptions ?

( Na usisahau hili swali lipo kwa msingi gani/lipo kwa msingi wa wewe unayeamini nyota zinazunguka Dunia )
Kwani unaposema Nyota zina move Kwa mtindo upi unamaanisha nini?

Maana swali hilo na swali la kwanini Nyota zinazounda Orion galaxy zipo pamoja muda wote,.ni maswali tofauti kabisa sasa sijui unakwama wapi..
 
Kwani unaposema Nyota zina move Kwa mtindo upi unamaanisha nini?

Maana swali hilo na swali la kwanini Nyota zinazounda Orion galaxy zipo pamoja muda wote,.ni maswali tofauti kabisa sasa sijui unakwama wapi..
Umeshasahau hata msingi wa swali, na hili ni tatizo lako kubwa hata Antony anakueleza hili mara nyingi
 
Jaribio la Pili
Kuhusu Visibility,,,
VIFAA
Flat earther's muwe wawili,
NJIA
1.Nedeni kwenye uwanya wa mpira wewe kaa goli la kwanza, na yeye akae goli la pili,,hapo itakuwa umbali wa mita takribani..

2.Nukuu unachokiona kwa mwenzako.
Mwambie asogee kwa wa hatua 20,nukuu unachokiona...

3.Mwambie asogee hatua 40,nukuu unachokiona...

Sasa uchukue flat earth mwenzako...
Tafuteni sehemu ambapo mbele kuna mteremko na nyuma ya kuna mteremko, katikati ndiyo kama juu.

1.Mwambie aende mbele kwenye mteremko hatua kama 40,nawewe urudi nyuma kushuka mteeemko hatua 30.

2.Muangalie mwenzako, halafu andika unachoona,
Mwambie asogee hatua 10,andika unachoona,
Mwambie asogee zaiid hatua 30,andika unachoona...

Tafuta mwenzako ufanye hilo,,Sayansi ni majaribio tu...
siyo falsafa hapa...
 
N
Hiyo sio nadharia bali ni fact kwamba muda wote Nyota hizo huonekana pamoja...so conclusion ni kwamba zina move pamoja zikitengeneza Orion shape.
Nikurukebishe in Science hatuna 100% facts,
Yaan theory hata iwe proven kiasi gani, itabaki kuwa theory, ili kuruhusu mtu mwingine akija na hoja ya kupinga aje na tafiti zake na hesabu zake...
Nimeelewa kijana...
In science Probability haiwezi kuwa 1.always ni chini ya moja.
 
Still.., Teknolojia na Telescope zilizopo zina limit ya kuona.


Nadhani teknolojia ingeruhusu NASA wangeachana na CGI's
Nimekupa jaribio la pili,,,,Umeskia mwanafalsafa, tena nakupa ya shule ya msingi, siyo kujidai unakimbilia Relativity,,
 
So,. unaamini hiyo other factors nimetamka/nimejitungia Mimi?

Kwamba Mimi ni dumb,...? Hayo ni maoni yako Tu kuhusu Mimi and you are free to think chochote.,.
Nimekwambia ufanye hilo jaribio kuondoa hiyo hoja yako ya kukariri....
Siyo kuingia kwenye mitandao ya flat earths kucopy na kupaste...
Scientific experiments hakunaga other factors, siyo insha hiyo, yani useme other factors halafu panel ya watu ikuangalie 😂😂🤣🤣😂
Fanya jaribio uone jinsi Penumbra and Umbra zinavyofanya kazi....
Halafu unasema jaribio halina mantiki, you are so dumb...
 
Jaribio la Pili
Kuhusu Visibility,,,
VIFAA
Flat earther's muwe wawili,
NJIA
1.Nedeni kwenye uwanya wa mpira wewe kaa goli la kwanza, na yeye akae goli la pili,,hapo itakuwa umbali wa mita takribani..

2.Nukuu unachokiona kwa mwenzako.
Mwambie asogee kwa wa hatua 20,nukuu unachokiona...

3.Mwambie asogee hatua 40,nukuu unachokiona...

Sasa uchukue flat earth mwenzako...
Tafuteni sehemu ambapo mbele kuna mteremko na nyuma ya kuna mteremko, katikati ndiyo kama juu.

1.Mwambie aende mbele kwenye mteremko hatua kama 40,nawewe urudi nyuma kushuka mteeemko hatua 30.

2.Muangalie mwenzako, halafu andika unachoona,
Mwambie asogee hatua 10,andika unachoona,
Mwambie asogee zaiid hatua 30,andika unachoona...

Tafuta mwenzako ufanye hilo,,Sayansi ni majaribio tu...
siyo falsafa hapa...
Kwenye hilo jaribio...
Mkiwa uwanjani, utagundua
Mwenzako akiwa kwenye goli lingine, utaona mwili mzima kutoka miguu hadi kichwa, ila hautamuona vizuri,,,yani Hutoona sura wala nywele za mikono.
Ila kadri anavyosgea ndiyo utakavyomuona vizuri, yani vision inakuwa clear....

Ila kwenye mabonde mawili
Yule mwenzako akiwa chini kule,wewe umeshuka kidogo,
Hauto muona kabisa, kadri anavyokusogelea ndiyo utaanza kuona kichwa, mara kichwa na mabega mara hadi kiuno mpaka mwishowe mwili mzima...


Hivi ndivyo hata Ship's Visibilty ilivyo,
Meli ikiwa mbali due to Curvature ya dunia ya dunia, utaanza ona sehemu ya juu ya Meli, then sehemu ya juu na kati,ikisogea zaidi utaiona meli nzima....
We dogo umeelewa...
Fanya Jaribio kesho uje na majibu yako.
 
Jaribio la Pili
Kuhusu Visibility,,,
VIFAA
Flat earther's muwe wawili,
NJIA
1.Nedeni kwenye uwanya wa mpira wewe kaa goli la kwanza, na yeye akae goli la pili,,hapo itakuwa umbali wa mita takribani..

2.Nukuu unachokiona kwa mwenzako.
Mwambie asogee kwa wa hatua 20,nukuu unachokiona...

3.Mwambie asogee hatua 40,nukuu unachokiona...

Sasa uchukue flat earth mwenzako...
Tafuteni sehemu ambapo mbele kuna mteremko na nyuma ya kuna mteremko, katikati ndiyo kama juu.

1.Mwambie aende mbele kwenye mteremko hatua kama 40,nawewe urudi nyuma kushuka mteeemko hatua 30.

2.Muangalie mwenzako, halafu andika unachoona,
Mwambie asogee hatua 10,andika unachoona,
Mwambie asogee zaiid hatua 30,andika unachoona...

Tafuta mwenzako ufanye hilo,,Sayansi ni majaribio tu...
siyo falsafa hapa...
Hahh,..Kwa tafiti hizi za Chekechea ndiyo maana hujachangia chochote kwenye Sayansi mpaka Leo.
 
1. Swali la msingi ni kwanini unarudi chini? Kipi usichoelewa? Wewe umetoa mechanism ya kufanya usirudi chini ila hujajibu kwann unarudi. Msingi wa swali ubaki pale pale, Kwa sababu nitakuuliza hii Dunia chapati yako imeshikiliwa na nini.

2. Yaani wewe unakwepa sana msingi wa swali. Easy question tu kuwa ni nini kinasababisha eclipses lakin unaruka ruka tu hapa hakuna kuruka, majibu yako ya Dunia haihusiki nan kasema inahusika? Jibu Kwa uelewa wako usijishitukie.

Nimekuuliza hili swali Kwa sababu ya kile tunachoona kipindi Cha hizi eclipses, Kwa mfano kipindi Cha lunar solar eclipse tunaona Jua linakuwa intercepted na object nyingne, swali ni kivipi? Sio unajibu simple tu wakat NASA huwa wanatabiri ni siku Gani na sehem Gani hii kitu itatokea au unadhani ni Kwa bahati tu inatokea? Na wao NASA na mamlaka nyingine za Anga zimeelezea vizuri mpaka nikaelewa japo sijafika huko kuona ila unaona inamake sense sio ww unasema tu kunaobject zina-interfere, seriously hata ww ungejielewa?

Kuhusu Moon phases pia unajibu simple simple tu, me sipo hapa Ili kushinda hii mada Bali nipate mwanga zaidi kuhusu umbo la Dunia yetu na ndio maana Kuna jamaa hapo nyuma nilimuelewa nikasema atleast ana make sense.

Umesema "Moon phases zinatokana na jinsi Mwezi unavyofanya movement kwenye anga....ambapo phase ya kwanza inaonyesha visibility ambapo Mwezi huonekana ncha yake Tu 🌙 ..." Hivi hata wewe unaona haya maelezo yako yamekamilika? Hivi mtu usomee maelezo ya NASA alafu asome na haya yako kwann asiamini NASA? Sa hapo umejibu nini? Swali litabaki ni kivipi mwezi uonekane full , na wakati mwingne uonekane hivi 🌙 au vingnevyo?


5. Refraction ni kupinda Kwa mwanga, so elezea refraction kivipi inasababisha tuone tunachokiona sio kusema tu ni refraction na mwingne anaweza kuja hapa akasema ni relative density Kwa tunahitaji maelezo yako hapa,

Nimesema Jua lingne Kwa maana refraction inahusisha incident ray( real sun) na refracted ray (Jua unalolisema ww tunaliona). Au Kuna refraction nyingne tena?

Na swali la ziada umesema Jua na mwezi vinazunguka kwenye realm Moja, je ni nini kinachofanya au sababu ya huo mzunguko? kitu hakiwezi kuzunguka tu bila sababu.
Na hapo awali nimekuuliza ni nn kimeshikilia hii chapati yako( flat earth)

Note: Tunaomba maelezo ya kutosha kama yatolewayo na mamlaka za Anga mbali mbali ambazo zilitufanya tukaona zinamake sense sio majibu mepesi tu kama yako . Asante.
Kinachofanya urudi chini ni Density, kitu chochote kikiwa kizito kuliko hewa lazima kitadondoka chini, na kitu kikiwa chepesi kuliko hewa lazima kitaelea angani. Gravity ni hoax.
 
Jambo kama huwezi kulijibu huwa unatoa majibu mepesi sana.

Labda namimi nkuulize swali, Japo nlishajitoa kukuuliza chochote,

kwa unavyofahamu NASA wanatumia njia gani kujua muda matukio kama haya ( siku yatakapotokea ) ?
Kuhusu kuzunguka kwa Jua msome VAN BRAUN director wa NASA alichoandika kwenye kaburi lake baada ya kufa. PSALM 19:1-6
 
Hahhh,.sijaleta maneno nimekupa njia ya kuthibitisha kama Dunia ni flattened, through one of the scientific research method known as "OBSERVATIONAL METHOD".... which is better than staying there waiting for NASA to come with CGI's and Indoctrinate your brain.

Au ikiwezekana watu wa Dunia Tufe wote mjitolee physically tukutane tufanye observation live kabisa tuone whether Dunia ni flat or Tufe,. Hahh
Hahahaa ukitaka kujua watu hawataki ujinga sahivi kasome comments kwenye posts za NASA ndo utajua watu wameamka wamechoka na na CGI’s. Moon landing ya juzi wanayodanganya imekuwa kimya ghafla😂😂
 
Okay,..hizi hapa ni baadhi Tu,....
Surah Yasin, verse 40: "It is not for the sun to overtake the moon, nor does the night outstrip the day. They all float, each in an orbit." (Qur'an,36:40)

Surah Ya-Sin, verse 38:
"And the sun runs [on course] toward its stopping point. That is the determination of the Exalted in Might, the Knowing
Kwenye bible akasome Mithali 19:1-6.
 
Lakini pia unafahamu kwamba,.. Dunia ambayo ipo Egg -shaped/elipsoid kama ambavyo huwa inachorwa haifanani kabisa na Dunia Tufe?

Yaani Tufe na elipsoid ni tofauti kabisa,.. atleast elipsoid inaonekana as if it's flat kama tunavyo observe kuliko Tufe la namna hii👇🏼.......View attachment 2926458
Ukiangalia hili li mpira unabaki unajiuliza hici maji yanakaaje kwenye ball? Kwa mtu ambae akili ipo sawasawa hawezi kukubaliana na huu uongo.
 
1. Hizo body zipo but ni too faint kuweza kuziona.

2. Ni almost sphere, au not perfect sphere so Kwa umbali huo unaona kama ni sphere.
Mbona hapa zimeonekana?😂😂😂 sindo nyie mlokuwa mnasema ukiwa space huwezi ziona??
 

Attachments

  • IMG_6002.png
    IMG_6002.png
    1.8 MB · Views: 3
ila kuna watu maandazi sana jamani,ndio madhara unafundishwa periodic table elements,wewe unaimba "hallow helena lile beberu bora chinja na ondoa figo nene"🤣🤣🤣🤣.yaani ni mwendo wa kumeza,hakuna muda wa kusoma vitu na kuvielewa.

yaani mtu anaambiwa dunia ni tufe anahoji kwanini maji ya habari hayamwagiki,kwanini wanatumia michoro ya flat earth kwenye ndege kusafiria(hapa kasahau hatuwezi kutumia picha kusafiria ni lazima ramani ambayo huwa ni flat ktk karatasi siku zote.

maswali anayouliza mtu yanakupa picha kwamba amefanikiwa kurefuka tu ila akili zake ni za mtoto wa standard one,ndiye akipata wasaa huuliza hivi kwa wazazi wake.View attachment 2927229
Inafurahisha, inashangaza alafu inasikitisha😄😄😮
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom