Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    543
Kwamba Dunia inazunguka?

Uthibitisho gani nimepewa...? Uweke basi tuone

NB:- Nipo open minded na nipo tayari kujifunza.
Dunia ni tufe, Nimeshakutumia picha ambayo ni screenshot kutoka kwenye clip ya kurushwa kwa Starship.

Au wewe uliona tambarare pale ?

Mimi nlijua umeshaelewa na umekubali Dunia ni tufe,
Nlidhani point ambayo bado haujaelewa kwa sasa ni kuhusu Dunia kujizungusha

Kumbe bado unaiona Dunia kuwa tambarare( ndio kuwa open minded huko ? tumekuelekeza sana, Hadi na ushahidi wa wazi kabisa )

Kazi kweli kweli!
 
Hakuna camera inayoweza Ku capture Dunia from end-end kutokana na ukubwa wa Dunia...sasa screenshot gani hiyo unayosema imethibitisha Dunia ni Tufe linalozunguka?
Screenshot_20240227-142138.jpg
 
hateeb10 Kuna video nyingi sana youtube zilizochukuliwa na watu mbalimbali pamoja na astronomers na scientists zikionesha earth’s rotation kwa kutumia fixed point on sky au earth surface (a reference point) na camera iliyokuwa mounted kwenye gimbal. Hii experiment inaweza kufanyika popote dunia.

Tatizo la ujuaji mwingi mbele kiza, siwezi kupoteza muda kukuwekea link au bando nikudownlodie then ni upload hapa.

Sasa zamu yako kuleta ushahidi wa dunia iko fixed huo ushahidi wa dunia flat/tambarare ulishashindwa mchana kweupe.
 
Mkuu una kipaji kikubwa sana cha ubishi.
Unaulizwa kuhusu ushahidi wa dunia kuzunguka unasema eti majira ya mwaka, usiku na mchana.....sasa huo ndiyo ushahidi?

Ukiambiwa uthibitishe kama Gari Lina move,.utathibitisha vipi?
 
Hakuna uthibitisho wa jambo lolote zaidi ya dalili,au madhara ya kinachodaiwa ni kitendo husika.

Nikiulizwa kama gari linatembea,nitaonyesha miti tunayoipita ikionekana kurudi nyuma,na mazingira tofauti kuonyesha tunafika point tofauti tofauti.

Wewe ukiulizwa kuhusu dunia tambarale na jua kuzunguka dunia utajibuje???
 
Hakuna uthibitisho wa jambo lolote?

Yaani Kwa kuwa huwezi kuthibitisha kuzunguka Kwa Dunia,.unaamua kuhitimisha kwamba kila jambo halina uthibitisho?

Sasa chukulia huo mfano wako kisha linganisha na Dunia,.Je Dunia imekuonyesha vipi kama Inakua point tofauti tofauti? Huoni kama Dunia ipo static na ndiyo maana kila eneo la Dunia Lina hali yake ya hewa ambayo ipo fixed milele na milele? Kitu ambacho ni impossible kwenye ikiwa Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?

Dunia tambarare inaonekana visionary &logically ina make sense,.hata ukija hapa tukiamua tufanye safari mpaka Uturuki kwa njia yoyote ile ya usafiri utaweza kujua kama dunia ni flat plane.

Jua na Mwezi zinafanya movement na hicho ni kitu ambacho unaweza Ku observe through your own eyes, na Eclipses ni uthibitisho tosha kwamba Jua na mwezi zina move!!
 
Tulia mkuu usome maelezo vyema wacha papara,nimekwambia kila jambo linalodaiwa kufanyika ushahidi wake hutegemea dalili au matokeo(madhara) ya jambo husika.

Nikikwambia nje kuna upepo,halafu unauliza kama nauona,au laah basi hakuna,sababu siuoni,hizo ni bangi.

lakini tutegemee nini kwa mtu kama wewe unayeamini hakuna ushahidi????

Sasa chukulia huo mfano wako kisha linganisha na Dunia,.Je Dunia imekuonyesha vipi kama Inakua point tofauti tofauti? Huoni kama Dunia ipo static na ndiyo maana kila eneo la Dunia Lina hali yake ya hewa ambayo ipo fixed milele na milele? Kitu ambacho ni impossible kwenye ikiwa Dunia ni Tufe linalozunguka 👉🏼🌍?
Hakuna eneo la dunia lenye hali ya hewa fixed,hizi lumba umetoa wapi??mkuu embu tumia hata simu kupekua pekua uongeze ufahamu wako,usiishie kupigia picha tu.
Dunia tambarare inaonekana visionary &logically ina make sense,.hata ukija hapa tukiamua tufanye safari mpaka Uturuki kwa njia yoyote ile ya usafiri utaweza kujua kama dunia ni flat plane.
😁😁😁,futa hii kuna mtu atakuja asome miaka 25 ijayo atahusisha maisha duni ya watanzania wote na akili hizi.

Nikikuuliza kwanini futari kigoma inaliwa saa moja na madkk kwa kufuata mawiwo ya jua,na dsm inaliwa saa 06:00 una maelezo gani ya msingi??
Jua na Mwezi zinafanya movement na hicho ni kitu ambacho unaweza Ku observe through your own eyes, na Eclipses ni uthibitisho tosha kwamba Jua na mwezi zina move!!
Mimi sijakataa kwamba vinamove,ila kila kimoja kinamove na mission yake.

Jua linamove kuzunguka mzunguko wa jumla na sayari zake sio kuizunguka sayari yoyote,dunia inazunguka jua,na mwezi unazunguka dunia.
 
Tulia mkuu usome maelezo vyema wacha papara,nimekwambia kila jambo linalodaiwa kufanyika ushahidi wake hutegemea dalili au matokeo(madhara) ya jambo husika.
Sasa utasemaje Dunia ina move wakati hakuna dalili yoyote kama ina move? Nitajie japo dalili moja basi kama ipo inayoonyesha Dunia ina move... Kumbuka dalili na matokeo ni vitu viwili tofauti..lete dalili sasa!

Hakuna eneo la dunia lenye hali ya hewa fixed,hizi lumba umetoa wapi??mkuu embu tumia hata simu kupekua pekua uongeze ufahamu wako,usiishie kupigia picha tu.

😁😁😁,futa hii kuna mtu atakuja asome miaka 25 ijayo atahusisha maisha duni ya watanzania wote na akili hizi.
Hivi kichwa chako unatumia kufanyia nini?......basi ngoja nikuulize swali rahisi huenda ukaelewa.....nini tofauti Kati ya Weather na Climate? Na Kati ya vitu hivyo viwili ni kipi kipo fixed over a thousands of years kwenye eneo husika?

Kisha urudi hapa.
Jua linamove kuzunguka mzunguko wa jumla na sayari zake sio kuizunguka sayari yoyote,dunia inazunguka jua,na mwezi unazunguka dunia.
Mpaka unasema Dunia inazunguka ni wazi itakua kuna vipimo umefanya ukagundua hilo kwasababu kila mtu haoni, hasikii wala kuhisi mwendo wa Dunia,....sasa ndiyo utuambie ni kipimo gani umetumia?
 
Sasa utasemaje Dunia ina move wakati hakuna dalili yoyote kama ina move? Nitajie japo dalili moja basi kama ipo inayoonyesha Dunia ina move... Kumbuka dalili na matokeo ni vitu viwili tofauti..lete dalili sasa!
Vyema.
Dalili kwamba dunia ina move utaiona kwa wewe kukaa nje ya dunia kabisa(relativity,humu ndani utaishia kuona matokeo tu.
Watu wameshatuma vifaa na vikathibitisha hilo.akina elon kila siku wanafanya project hii ngumu kabisa ya kurusha rockets kisha irejee kutua point ile ile,ni zoezi gumu sana sababu ya hii rotation.

matokeo ni majira ya mwaka,usiku na mchana na vipindi mbali mbali vya hali ya hewa.
Hivi kichwa chako unatumia kufanyia nini?
si kufugia nywele mkuu,ndio maana huwezi kuta nabishana vitu vya ajabu kama wewe.
......basi ngoja nikuulize swali rahisi huenda ukaelewa.....nini tofauti Kati ya Weather na Climate? Na Kati ya vitu hivyo viwili ni kipi kipo fixed over a thousands of years kwenye eneo husika?
Ndio sababu wenzako tunajaribu kukuelekeza kwamba dunia ni duara sababu kuna,kuna maeneo kutokana na kukaa target flan panakuwa na jotoridi lenye wastani unaofanana,sio constant numbers daily.

Hata sudan ambayo mara nyingi inasoma 39°C huwa inashuka mpaka 36 wakati mwingine.inategemea dunia iko umbali upi kutoka jua lilipo ktk mzunguko wake wa mwaka.
Kisha urudi hapa.
nipo hapa.
Mpaka unasema Dunia inazunguka ni wazi itakua kuna vipimo umefanya ukagundua hilo kwasababu kila mtu haoni, hasikii wala kuhisi mwendo wa Dunia,....sasa ndiyo utuambie ni kipimo gani umetumia?
Kila mtu na nani😆😆,sema wewe ndiye huoni,na sababu huoni haina maana mzunguko haupo,umeulizwa mdudu mdogo kama sisimizi akikaa juu ya baloon,anaweza kuhisi jambo gani baloon ikizungushwa kwa speed flani???
 
Wakuu hii kitu nimeona sehemu..je iko sawa na hii mada ?
 
Attachments

  • Screenshot_20240317_092027_Gallery.jpg
    Screenshot_20240317_092027_Gallery.jpg
    285.3 KB · Views: 7

Similar Discussions

Back
Top Bottom