hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 1,830
- 825
Hicho kitendo cha Jua kuwa kwenye miguu yetu relatively ni kitendo ambacho hakipo na hakijawahi hata kuwa observed/pictured hata mara moja,...Sasa hiki ndio nn? Sema shida iko wapi, nimekupa mfano wa mpira
Kinachofanya uamini na kuona ni kitendo cha kawaida ni Imani yako kubwa juu ya nadharia ya Dunia Tufe linalozunguka,...licha ya kwamba huna uthibitisho wowote juu ya Jua kuwa usawa wa miguu yetu relatively.