Siri imefichuka kuhusu wanawake

sheremaya

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2015
Posts
5,212
Reaction score
13,388
Ukweli mchungu ni hivi.

Wanawake wasio na kazi,wasio na pesa,HUPENDA KUDATE NA WAZEE/WABABU

wanawake wenye pesa,wenye kazi zao HUPENDA KUTOKA NA WATU WA UMRI WAO

wanawake watu wazima wenye pesa zao HUPENDA KUTOKA NA VIJANA

njooni mbishe
 
Ningependa uwe katika kundi la wanawake wenye hela na kazi pia, ila uwe unatoka na mimi mwanao [emoji29]

Astaghafirurah !hamjui tu ugumu wa kutoka na mama zenu...imagine mama anamtumbo huoo ametepetaaa..ss ww raha unaipata wapi??mnakosea..tena ww ngoja nikupe mdogo wqngu@Baby doll..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…