Frey Cosseny
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 1,984
- 1,409
Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake cuf imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama icho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa cuf mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla chadema wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ananguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama icho ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama icho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama icho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa Cuf bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti cuf na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa Cdm. Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia Cdm baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama icho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya Cuf.
Amuamini nani huyo anahangaikia buku7 tu huyo na yupo shift ya usiku maana nasikia wameambiwa shift ziwe usiku na mchana ili kuipunguza nguvu harakati ya UkutaLipumba katumwa na CCM. Na hilo linajulikana.
Lakini kwakuwa inasemekana kuwa IQ zetu watz zipo chini ya kiwango, basi wapo watakao amini unachozusha wewe.
Kumbe mwenzangu yeye yupo kazini night shift?Amuamini nani huyo anahangaikia buku7 tu huyo na yupo shift ya usiku maana nasikia wameambiwa shift ziwe usiku na mchana ili kuipunguza nguvu harakati ya Ukuta
Ungeiweka kama tetesi ningekuelewa....Kisa cha Prof Ibrahim Haruna Lipumba kutaka kurejelea kiti chake cuf imefichuka. Maalim Seif alipanga kumfuta kabisa uanachama wa chama icho. Ikumbukwe kuwa Prof Ibrahim Lipumba alitangaza kujiuzulu uwenyekiti wa cuf mwaka Jana 2015 lkn aliamua kubaki mwanachama wa kawaida lakini gafla chadema wakashtuka baada ya kugundua kuwa Lipumba bado ananguvu ndani ya chama icho kitendo ambacho kitawazuia kukitumia chama icho ndipo walipomuuzia wazo Maalim Seif kumtimua ktk chama icho Prof Lipumba na Maalim Seif kiafiki wazo hilo ndipo mpango ukaanza kusukwa na ustadi mkubwa na kukabidhiwa kijana machachari wa chama icho Julius Sunday Mtatiro kuwashawishi wanachama wa Cuf bara huku akihadiwa kusaidiwa kifedha kuukwaa uenyekiti cuf na kuna tetesi kuwa alipewa gari na kiongozi mpya wa Cdm. Baada ya Prof Lipumba kunasa mkakati huo ndipo alipoamua kutaka kurejea ktk nafasi yake ili kupimana na nguvu na Maalim Seif. Tetesi zilizopatikana usiku huu zinadai Julius Mtatiro anajiaandaa kuhamia Cdm baada ya mapinduzi yake dhidi ya Lipumba kushindwa kufanikiwa jambo ambalo linamweka ktk wkt mgumu kisiasa ktk chama icho na uwenda akatimuliwa uanachama ndani ya Cuf.
Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.
ukiangalia kwa ndani kitendo cha Babu Duni kukataa nafasi ya uongozi siku moja kabla ya uchaguzi kina maana sana kwenye siasa. Ila kwa nchi kama zetu, watu wanaona ni kawaida.
Mtatiro fedha alizopewa na Lowassa arudishe ndo aondoke ndani ya Chama. Maana anajifanya kujua mengi na kupambana na maovu wakati anapigia debe uovu. Ndo maana sijahi ona kafanya uchambuzi juu ya ufisadi zaidi ya utawala bora ambao anafundishwa na Mbowe.
Siku itafika hivi vyama vitakufa. Havina sera wala viongozi. Havijui kesho zaidi ya kuangalia CCM na Magufuli kafanya nini.
Wanatakiwa wajifunze siasa.

CCM IMARISHENI CHAMA CHENU, MAANA HUKU NINAKOISHI, KILOMITA 600 TOKA DSM,MIKUTANO YA CUF, NGAZI YA WILAYA, INAHUDHURIWA NA WATU WASIOPUNGUA MIA TANO, WAKATI ILE YA CCM INAKUWA NA WATU WASIOZIDI MIA MOJA.Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.
ukiangalia kwa ndani kitendo cha Babu Duni kukataa nafasi ya uongozi siku moja kabla ya uchaguzi kina maana sana kwenye siasa. Ila kwa nchi kama zetu, watu wanaona ni kawaida.
Mtatiro fedha alizopewa na Lowassa arudishe ndo aondoke ndani ya Chama. Maana anajifanya kujua mengi na kupambana na maovu wakati anapigia debe uovu. Ndo maana sijahi ona kafanya uchambuzi juu ya ufisadi zaidi ya utawala bora ambao anafundishwa na Mbowe.
Siku itafika hivi vyama vitakufa. Havina sera wala viongozi. Havijui kesho zaidi ya kuangalia CCM na Magufuli kafanya nini.
Wanatakiwa wajifunze siasa.
Mkuu baada ya kuandika umerudia kusoma kabla ya kusend au kuna mtu anatumia acc yako ambaye ana tatizo la akili?Demokrasia ambayo Seif alikuwa anazunguka dunia zima kuwaaminisha wazungu juu ya Znz bdo hiyo anaikanyaga Bila kuangalia madhara yake ndani ya Chama.