Hata kama hujanitaja ngoja nichangie tu.
Yaliyopita hayawezi kujenga wala kubomoa!!!!!!
Itabaki kama story tu kwa mwenza wako!
I thought u said, never to trust a woman?
And why on earth should a woman trust a man?
So kwa mtazamo huo, siri ni muhimu iwe inajenga au kubomoa.
^^
Kwanza am sorry best,,
back to topic
Kuna watu wanaficha kuwa wana watoto au wamewahi kuwa na uhusiano na rafiki wa mpenzi wake..huoni lina athiri?
^^
Kuna details kuhusu past life ambazo sio za muhimu. Zinaweza kukuletea shida tu.
Lakini siri za kuhusiana na fedha na maisha na mipango hubomoa. Hata kama hutaki kuchangia sema tu. Lakini pia wanawake tumejifunza kutoongelea fedha zote tunazopata, na mwalimu wetu ni mwanaume.
^^
A woman can be trusted
^^