Hapa kunahitajika ulinzi shirikishi kufichua hivi vikundi vidogovidogo vya kigaidi ili jeshi la polisi na vyombo vingine vya usalama viwatie nguvuni haraka sana ,hili ni jambo kubwa linaloisumbua dunia hatuwezi kukubali Tanzania ikawa na magaidi hata sekunde moja.