TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

R.I.P sir Clement G. kahama.
Kwa vijana wa kizazi cha digitali ,hii ndio Picha ya Sir Clement G. Kahama.
 
mzee wa long time sana huyu ! sijui kaacha bilion ngapi
Unawaza pesa tu, hakuna aliyewahi kuzikwa na pesa zake kaburini. Utaziacha zitaliwa na wengine na kaburini utaingia peke yako
 
Chuo kikuu cha Ushirika ana jengo limepewa Jina Lake .Lecture Hall ipo Karibu kabisa na Hostel aliyeyokua akiishi aliyekua mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda au Daudi Albert Bashite.

Pembeni kuna Pius Msekwa na J.K Nyerere Hall.
 
Mungu amjaalie kheri. Marehemu alijua kustaafu tofauti na watu wengine walikula rushwa lakini bado yanahangaikia siasa...waliuza nchi na migodi wakajiuzia na majumba ya serikali lkn kilaleo yako ikulu...shiiii!
lala kwa amani sir GK.
 
Mzee tunakuombea pumziko jema na usiache kumsalimia rafiki yako J.K.Nyerere huko uendako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…