Sir Elton John and David Furnish's Baby Boy!

huyu mtoto akianza shule.. iam sure atapata tabu.. kutaniwa na wenzake.. na pia kuna 60% possibilty.. ataiga huu mchezo mchafu toka kwa hawa wazazi wake.. hivi ni cha kiume au cha kike..??!

Mkuu nchi za wenzetu kuna utofauti sana huku, wao mtu kuwa shoga sio jambo la kushangaza na mashoga ni mfumo wa maisha na hawajifichi.

Nilionyeshwa one family ya baba na bintiye wa miaka kama 12 hivi, baada ya baba kumtaliki mkewe akaoa mwanaume mwenzie na wanaishi na binti yao huyo na ameaccept hiyo situation....can u imagine this? Pia mashoga ulaya wanaaminiwa kiasi cha kupewa nyadhifa nyeti kama uenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ujerumani na uwaziri wa mambo ya nje Ujerumani (Westerwelle). Na kwenye harusi ya huyu waziri na shoga mwenzie wanasiasa kibao wa ujerumani walihudhuria sherehe yao na kutoa baraka zao......

Huwa najiuliza ni tolerance kwa jamii ya mashoga au ndio maendeleo kiasi kwamba kila kitu ruksaa nchi za wenzetu??

Lord have mercy.
 
Walaaniwe wallah. mi nadhan mwisho wa dunia uko very near.:disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:
 
Dah!!! Dunia ina mambo sijui mtoto atakuwa anaita DAD and MUM au sijui vipi kazi kweli kweli
 
huyu mtoto akianza shule.. iam sure atapata tabu.. kutaniwa na wenzake.. na pia kuna 60% possibilty.. ataiga huu mchezo mchafu toka kwa hawa wazazi wake.. hivi ni cha kiume au cha kike..??!
Mimi nimefikiria mambo mengi hata majibu siyapati
 
Dah!!! Dunia ina mambo sijui mtoto atakuwa anaita DAD and MUM au sijui vipi kazi kweli kweli
Halafu godmother ni Lady Gaga!!!

Kwa wale wasiopenda kula pipi na maganda yake siku moja watoto wao wanakuja kuishia kwa watu kama hawa.
 
As u make ur bed then u must lie on it!
Kazi kwao na maisha yao na watajija wenyewee!
Wali nazii!
 
huyu mtoto akianza shule.. iam sure atapata tabu.. kutaniwa na wenzake.. na pia kuna 60% possibilty.. ataiga huu mchezo mchafu toka kwa hawa wazazi wake.. hivi ni cha kiume au cha kike..??!
hatapata taabu yoyote mkuu,kwa wenzetu kawaida sana hii,kuhusu kuiga kuna aslimia kadhaa za kuwa mshoga hata kama hatafanywa atawafanya yeye.....wengi wa watu weupe wanaochukua watoto kwa ajili ya adoptera nyuma ya pazia kuna mauchafu makubwa wanawafanyia au kuwafundisha!
 
Hata huko Ulaya si kwamba wanapenda hii hali ila ndio mambo ya haki za binadamu. Juzi juzi kuna mmiliki mmoja wa Hotel UK kawatoa dima midume miwili hotelini kwake baada ya kuwaona wanakiss. Wenzetu kinachowafanya waonekane hawajali ni ile hali yao ya kutopenda kushangaa hata upite uchi. But not all europeans, americans likes it. Hakuna dini inaruhusu ushoga kwa hiyo any eurpean believer hawezi kupenda hii hali ila afanyeje.

Nasikia sasa hivi South Africa pia wameruhusu ndoa za jinsia moja. Yaani kuna shirika la Kiholanzi linafinance NGOs kutetea huu upuuzi. Na ndio waliowaponza waganda wakaishia kula kichapo.

hatapata taabu yoyote mkuu,kwa wenzetu kawaida sana hii,kuhusu kuiga kuna aslimia kadhaa za kuwa mshoga hata kama hatafanywa atawafanya yeye.....wengi wa watu weupe wanaochukua watoto kwa ajili ya adoptera nyuma ya pazia kuna mauchafu makubwa wanawafanyia au kuwafundisha!
 
elton-talks-about-his-son__oPt.jpg

Absolutely adorable!
For the first time ever, Elton John and David Furnish have posed on camera with their newborn baby, Zachary!
Here’s what Elton had to say to OK! Magazine about the little fella:
"He shot out like a rocket. There just aren't proper words to describe that feeling. It's indescribable. It was just, 'We have a son'!"
"I'm ready to have a child and lavish my love on our son and not spoil him."
Excellent plan, Elton! We're sure you and David are going to be wonderful fathers!

1303295855_large.jpg

,,,,,,Haya MAKITI MOTO bana,hivi KIUKWELII kabisa,nani ANALIWA kati yao hawa au ndo CHANGE BIN CHANGE????,,,ama kweli MIS...NGE haina HAYA bana.
 
mtoto kapatikana kwa njia zipi?kuna mwanamke alibebeshwa mimba?

elton-talks-about-his-son__oPt.jpg

Absolutely adorable!
For the first time ever, Elton John and David Furnish have posed on camera with their newborn baby, Zachary!
Here’s what Elton had to say to OK! Magazine about the little fella:
"He shot out like a rocket. There just aren't proper words to describe that feeling. It's indescribable. It was just, 'We have a son'!"
"I'm ready to have a child and lavish my love on our son and not spoil him."
Excellent plan, Elton! We're sure you and David are going to be wonderful fathers!

1303295855_large.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom