Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
na ndio itakavyokuwa wallah kwani si watu wasema mtoto wa nyoka nae ni nyoka,,subhanallah rabb ghurirliy warhamniy ya raab,,!!!!!!!!
jamani mkisikia mwisho wa dunia ............ ndugu zangu zidisheni sala :A S clock::crazy:.............uke: uke:
SASA NANI BABA?elton john ama mumewe?huyu mtoto atajibiwa vipi akiuliza mama yake yuko wapi?Hawa ndio wanatuletea matatizo tu.