Sir Alex Ferguson: Ni Kufulia au Frustration?

Sir Alex Ferguson: Ni Kufulia au Frustration?

Joined
Nov 6, 2012
Posts
35
Reaction score
5
Ferguson.jpg
 
tuache mambo ya kitoto ndiye nyie ukipikiwa mboga za majani unasema ni umaskini! kuendesha baiskeli ni zoezi zuri mno kwa mwili
 
Vitu alivyovaa, bei yake inaweza kulisha nyumba ya watoto Yatima ya Dar kwa wiki nzima..... Mzee anapiga zoezi, safi na na hongera zake. Naomba nije nipewe nguvu kama nusu yake nikizeeka.

attachment.php
 
Back
Top Bottom