Sipewi unyumba

Tatzo nampenda roho inauma kumuacha
 
Unataka tukufundishe namna ya kuzini ama?
 
Daah!!
Noma sana
 
Itakuwa una tabia za kike kwahiyo anakufananisha na shoga yake,sisi wengine Demu akijaribu kuingia ghetto hatoki hata kwa bahati mbaya haijalishi kama ndio first time ama Last time
 
Oa kwanza ndio ulalamike kutopewa unyumba.
 
si utafute kwingne mkuu
 
Mwanamke kama hataki husimbake mwache aende zake. Kulazimisha mapenzi ni hatari.
 

Huwezi kupewa unyumba wakati huna nyumba. Tafuta nyumba, muweke ndani na huo unyumba utaupata.
 
Nenda kautafute unyumba kwa yule aliekusababishia mdomo kubabuka.
 
Mada za kitoto toto na za kipuuzi kama hizi mbona zimekuwa nyingi sana sasa hivi huku JF ?
Mods hebu fanyeni kazi yenu kwa topics za namna hii, too much now!

Duh!!!
Amekulazimisha usome uzi wake au?
Muwe mnapita kimya kimya..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…