Sipendiii!!

Sipendiii!!

chakati

Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
27
Reaction score
6
Tabia ya msichana/mwanamke,siku ya kwanza mnakutana kwa maongezi,anafika eneo la tukio,lakini anakuwa busy na kuchati,yaani hata mistari unayomshushia inakatikakatika!badilikeni bhana,tabia hiyo sio,yaani ni kama wale wanaosoma gazeti wakati wa majamboz!
 
kama nakuona mistari ilivyokuwa inakatika katika pole ngoja wanakuja watakusoma haitajirudia
 
Ulimbukeni au labda wana low self esteem! Kulikua na haja gani ya kukutana sehemu kama mW engine yuko busy na simu.
 
Dawa yao hao unachukua chumba kabisa ,kama dada nanihii alivyokua anaombwa
 
Tena anamismis mistari kwa ulevi wa JF
Jf ni pombe kali kuliko konyagi
 
May be unaboa ndo mana

Verse hazina maana
 
Yaani siku ya kwanza kukutana na wewe ana kwa ana? Duh basi huyo ni kurumbembe aliyekubuhu aisee
 
Tatizo wewe huna mistari ndio maana anaongea na waliokua nayo
 
usilalamike tatizo ni ww mwenyewe hujui kuchangamkia fursa
 
ukiona hivyo yaani hapo hana wazo na wewe yaani hujamvutia hata kidogo anatamani tuu ughairi kufanya hilo zoezi aondoke zake
 
Kaka hapo tatizo lipo kwako, huna maneno ya kumvutia kaona bora ajiliwaze na social networks.. Watu tuna maneno yanatekenya kwenye masikio....hagusi cmu kabisa hata akipigiwa anakata kwanza amalizie kukusikiliza.. Badilika ndugu
 
Tabia ya msichana/mwanamke,siku ya kwanza mnakutana kwa maongezi,anafika eneo la tukio,lakini anakuwa busy na kuchati,yaani hata mistari unayomshushia inakatikakatika!badilikeni bhana,tabia hiyo sio,yaani ni kama wale wanaosoma gazeti wakati wa majamboz!

Usikute wewe unashusha vina yeye yupo bize JF anabishana na FF.

Wajinga ndio waliwao. Oaneni, yasiwakute hayo.
 
Back
Top Bottom