Sipendi wanaume!!

Sipendi wanaume!!

quen Gradie

Member
Joined
Aug 13, 2017
Posts
16
Reaction score
11
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'

Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
 
Kwanini unafikiria wamekuchezea na kukuacha makinikia tu. Tuanzie apa kwanza
 
Kumbe bado msichana weye..? Basi ungebadilisha kichwa cha uzi wako na kusema "Hupendi Wavulana" manaake Wanaume hawana tabia ya kupenda wasichana.

Wasichana mnapenda sana wavulana, wanaovalia suruale chini ya makalio, wanao shindana na dada zao kujiremba, wavulana wanajitahidi sana kubana sauti na zaidi wavulana wanapenda hit& run.
 
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'

Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Kazi ya mwanamke si kumpenda mwanaume bali kazi yake ni kumtii mwanaume so ww umetambua majukumu yako bahati mbaya wanawake wenzio wanafanya kazi ambayo si yao ya kumpenda mwanaume wakati kazi ya kupenda ktk mahusiano ni kazi ya mwanaume ndio maana siwez shangaa wanawake weng wakiimba nyimbo za Aslay - likizo
 
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'

Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Inategemeana na wanaume unaokutana nao,pengine unakutana na viduku!..Huwezi kukutana na gentleman kama mimi ukaacha kunipenda,anyway hata ukishindwa kunipenda basi utapenda mipango yangu..be humble
 
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'

Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Upende usipende ukweli ni kwamba huna option.
Huwezi kupata mwanaume nje ya wanaume waliopo duniani, unless otherwise uende peponi/kuzimu ndo upate wa huko.
 
Back
Top Bottom