Poor Carmel!!!! Poor Binamu!!!
Hivi unategemea atakutangazia kuwa ana nyumba ndogo. Mama Matesha wangu anaweza kukuapia kuwa mimi mme wake mpenzi niliyeshushwa toka mbinguni kwa ajili yake tu, sijawahi kugonga nje tangu nimuoe. Anaamini hivyo kama ambavyo wewe unavyoamini. Infact ni asilimia kubwa ya wanawake wanaamini hivyo.
Lakini ukweli tunaujua sisi. Mama Matesha wala hata hajui kama nimeshamgongea rafiki yake, nimeshamtafunia mdogo wake, hapo usihesabu kina Eliza na wasaidizi wao.
Na wewe Chrispin wewe ..hivi ukifanyiwa wewe si ndo utapata BP/Shell/Caltex /Oryx na kila aina ya magonjwa ?
Tatizo chrispin utani mwingi mwisho anawapoteza watu hapa. sidhani kama kweli anayoyasema anayafanya na kama kweli anayafanya na yuko proud hapa namna hii, basi we need salvation.Huyu anajidai mjanja! Ipo siku itabidi tumkodie ndege kwenda South Africa akatibiwe! Na hiyo ndio shida eti naendelea kumega nje ilimradi wife hajui! ndugu yangu siku atakapojua You'd wish...............!
Afadhali utubu sasa ukamwombe msamaha!
mmmmh am puzzled!! mkuu hata wewe???? sihukumu .... najaribu tu kufikiria kama unamaanisha ulicho bandika!!
Thanks Carmel... good point; JE KUNA CHANCE KWAMBA WANANDOA WALIO NDANI YA NDOA KUKAA MIAKA KUMI BILA INFIDELITY? KAMA NDIO WHAT WOULD BE THE PERCENTAGE? [ACCORDING TO RESEARCH KAMA ZIPO]
Kuhalalisha kisichowezekana ni ngumu na kuharamisha kisichoepukika pia ni ngumu
Caren umetusaidia wengi!
mmh utawajua tu wezi wa waume wa watu
Signs of infidelity
Signs of Spousal infidelity
Statistics say that 85% of women who feel their lover is cheating are correct and 50% of men who feel their lover is cheating are right. If you have suspicious, warnings or signals of infidelity by your spouse or partner, consider some of the following and be as impartial as possible.
Have you noticed a:
- Sudden increase in time away from home
- Decreased sexual interest with you
- Cheating spouse is often distracted and day dreaming
- Cheating husband or wife is often unavailable while at work
- Cheating spouse attends new functions outside of work or not wants to go alone
- Cell phone calls from you are not returned in timely fashion
- Cheating spouse leaves house or goes to other rooms to talk on the telephone
- Cheating spouse uses computer alone and secretly
- Cheating spouse asks about your schedule more often than usual
- Mileage on car is high yet he / she reports only short distance errands
- Clothes smell of perfume or cologne
- Cheating spouse gets his / her laundry done independently
- Unexplained payments on bank statements
- Cheating spouse has more cash on hand without accountability
- Cell phone bills contain calls with long duration
- Cheating spouse now has a phone card but never used one before
- Cheating wife or husband has unexplained receipts in wallet or purse
- Cheating spouse has suspicious phone voice-mail messages
- Cheating spouse has suspicious cell phone numbers stored or dialed
- Internet web browser history list (this is a record of web sites visited) contains unusual sites
- Cheating spouse begins to use new or free e-mail account
- Cheating spouse is suddenly deleting e-mail messages
sijawahi kuwa na matatizo yotote katika ulezi wangu,haya mambo yapo mitaani,unless wewe mwenyewe uyafumbie macho...
Huyu Ngamia mimi namwita "naive". Mambo ya kuibia/ kutoka kwenye ndoa mara nyingi sana hufanyika kisiri. Kwa hiyo uwezekano wa mtu kuibia bila mwenzi wake kujua ni mkubwa sana. Na kuibia siyo lazima uende ukatumie siku nzima na huyo mpenzi wa nje. Mnaweza mkalana uroda kwenye gari, jioni ukiwa unarudi nyumbani. Watu wanakulana uroda vichakani na kwenye kila aina ya sehemu. Heck, hata kabla ya kurudi nyumbani mtu unaweza ukapitia Jolly pale ukanunua malaya, mkaenda kutafuta sehemu hapo Upanga, ukamega (kumega hakuchukui usiku mzima...ni vidakika tu halafu kitu na boksi) ukimaliza unarudi nyumbani. Na huko nako si ni kuibia? Sasa mkeo atagunduaje hapo? Na mara nyingi mtu anayeibia hajitolei kumwambia mwenzi wake eti natoka nje ya ndoa yetu. Atakuwa mjinga wa mwisho huyo.eti mumeo hana kimada!...ATAKUAMBIA????what makes you,to be so sure???watu wameletewa watoto pindi waume zao walipokufa!..am sure wangeapa kama wewe hapo juu kuwa waume zao hawatembei nje ya ndoa....
Kweli kabisa...kama mume wa mtu (supposedly) hatoki nje ya ndoa yake sasa sijui kwa nini mtu akereke na yanayoendelea kwenye ndoa za wengine. SMHagain hili la infidelity halikuhusu na sioni kwa nini likusumbue kama mumeo hatoki nje,hujampa sababu ya kufanya hivyo!...but it will be sooo unrealistic kuwaza nyumba nyengine nazo zimejitosheleza kama ya kwako....
Hoja nzuri.wanaotoka nje ya ndoa wana sababu zao,kama mumeo hana,usitake kuassume na waume wa wenzio pia HAWANA...!..
Yaani hapa utadhani mimi na wewe ni kama mtu mmoja. Mumeo au mkeo atoke nje ya ndoa yake halafu wewe eti umlaumu yule ambaye hamkubadilishana naye viapo....what sense does that make? Wa kulaumiwa ni huyo aliyetoka nje ya ndoa yake kwa maana yeye ndiye aliyekiuka viapo alivyokula vya kukupenda wewe na kuwa mwaminifu kwako hadi hapo mauti itakapowafika. Yeye huyo mwenza wako ndio anabeba uamuzi wa mwisho wa kutoka au kutokutoka nje ya ndoa yake na kwa mtazamo wangu mimi mzigo wa lawama pia anastahili kubeba.Akina Da Sophy hawana uamuzi huo.AND HEELL NO,KWA NINI NIMLAUMU DA SOPPHY,WKT NI MUME WANGU ALIYESAHAU KIAPO CHETU NA KUMFUATA?
Look I wouldnt really like to deal with a woman in case my husband cheats on me... she is nobody to me... but I will deal with him and only him PERIOD.... because he swore to me he will be faithfully and So did I.... naona kuwalaumu kina Da Sophy haitasaidia kusolve problems...kama mwanaume hana adabu na hajiheshimu utachoka tuu kugombana na wanawake...how many women will u fight with?