Sipendi Wakili wa Chadema kusimamia kesi ya anayedaiwa fisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi Wakili wa Chadema kusimamia kesi ya anayedaiwa fisadi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mosquito, Feb 23, 2011.

 1. m

  mosquito Member

  #1
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nisaidieni na hizi sheria zenu,inanisumbua akili sana kila kesi ya bwana mengi inapoitishwa,iko sawa sawa hii kimaslahi ya kisiasa?
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hueleweki nashindwa nichangie nini
   
 3. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #3
  Feb 23, 2011
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ji fafanulie na kujijibu...............
   
 4. m

  mosquito Member

  #4
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namaanisha wakili wa kujitegemea mpiganaji mkubwa katika chadema kuwa wakili wa mtu anayetuhumiwa kuwa fisadi papa? imekaaje,maana evidence zikija kuthibitisha katika hali ya kawaida lazima uzipige chini!!!
   
 5. i

  issenye JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 1,151
  Likes Received: 992
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />

  Wakili ni mtiumishi kama watumishi wengine, ana haki ya kumtetea mteja yeyote yule. Pale kinachofanyakazi ni sheria na siyo siasa. Je ukiwa wewe ni daktari halafu Rostam Azizi akaleytwa kwenye hospitali unayofanya kazi hutamtibu kwa sababu ni mtuhumiwa Mkuu wa Ufisadi?
   
 6. m

  mosquito Member

  #6
  Feb 23, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  je kesho utasimama jukwaani kumtaja kwenye list ya mafisadi?
   
Loading...