ndechilio shoo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2013
- 997
- 366
nikimuona msichana kavaa wigi au kasuka rasta,kope za bandia,rangi mdomoni,mikucha ya bandia ,sitamani hata kuwmangalia.hasa wanafunzi wa vyuo vikuu mfano UDSM,UDOM,IFM,CBE,yani ukiwaona walivyovaa mawigi utazani kofia za askali wa kikoloni.siku mmoja wakati 2naenda kupiga lecture mbele yu2 walikuwa walembo c unajua upepo hauna adabu ?mawigi kama 3 yakapeperuka walembo waliaibika kinomaaa ikabidi vidume vinavyopenda sifa vianze kukimbilia mawigi kuwasaidia wakina dada.