Halafu huwa nawaambia watu hili jambo wanashindwa kuamini, ugali uliletwa na mabeberu na mahindi yaliletwa na wareno kama sikosei, hata kama ugali ulikua ukiliwa Africa sidhani kama ni huu ugali wa donaHata hivyo Ugali umedumaza sana Ubongo za watu wengi na jinsi ulivyo wengi wanaamini ni chakula ya Mtu mweusi kumbe nayo ilililetwa na Mabeberu zipo Nchi nyingi Afrika Ugali sio kipaumbele chao kama hapa kwetu...
Madogo hamjui historia ya wabantu...kabla ya mahindi babu zetu walikua wanakula ugali wa nafaka mbalimbali...Tatizo madogo ujuaji mwingi na elimu zenu za degree.Halafu huwa nawaambia watu hili jambo wanashindwa kuamini, ugali uliletwa na mabeberu na mahindi yaliletwa na wareno kama sikosei, hata kama ugali ulikua ukiliwa Africa sidhani kama ni huu ugali wa dona
Mtaalam ambao watu weusi wengi wanaomuamini kama mzalendo Dr sebi alishawahi kusema ugali wa dona ni sumu na unadumaza akili
Unazungumzia ugali wa nafaka gani ndio uliletwa na mabeberu na ni mwaka gani???Hata hivyo Ugali umedumaza sana Ubongo za watu wengi na jinsi ulivyo wengi wanaamini ni chakula ya Mtu mweusi kumbe nayo ilililetwa na Mabeberu zipo Nchi nyingi Afrika Ugali sio kipaumbele chao kama hapa kwetu...
Sasa wewe ndio mbantu alisia.Aah! basi watu tunatofautiana sana
Kiukweli Mimi nisipokuta ugali(nguna) nyumbani siwaelewi kbs, wapike vyakula vyao wanavyotaka lkn ugali wa baba huo lzm uwepo.
Ugali dagaa, ugali samaki, ugali nyama choma hapo hunitoi mzee. Nakula hata mwaka mzima bila kubadili na sioni noma yoyote.
Unazungumzia ugali wa nafaka gani???Ugali siyo chakula aisee
Nina mwez wa 3 siujui ugali