NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Huwa mara kadhaa tunatoka outing na Mr wangu na rafiki yake (shemeji), illa huyu shemeji anatabia ambayo hainipendezi na nimeshamwambia siipendi ila hakomi hata. Huwa tukikaa kwenye meza yeye ananikanyaga miguu kila wakati na jamaa akitoka kidogo analeta vidole vyake mpaka kwenye nanihiiiii. Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?

Unaogopa nn sasa kumsemea?Dont be cheap dear,.mpe onyo kali la mwisho na umwambie utamwambia Mr wako upuuzi wake kama ata acha,ukizidi kukaa kimnya unafuga ujinga na pia ataona unapenda hako kamchezo.Lkn pia kutosema huwezi jua labda ni kamtego Mr wako kaweka ili aone kama ww ni mwaminifu au la(kuna wanaume/wanawake wajinga hufanya hivi)si unajua haba na hapa hujaza kibaba?
Acha uwongo wewe not enough! Unapenda sana ndiyo maana humsemei
not enough unavituko sana, huyo mr si ndio yule aliyekuacha kwenye mataa siku ya valentine? kwahiyo ndio umeamua kumegana na rafiki yake? haya bana, utarudi hapa hapa kusema ndoa imeisha
Unapoendelea kunyamaza inamaana unakubali anayokufanyia
ipo siku atajisahahu akushike mumeo akiwepo ndio akili itachanganya
mweleze Mr wako hupendi tabia ya rafiki yake
.... Naogopa kumsemea sasa nifanyeje?
it's simple mwambie huyo shemeji yako hutaki hiyo tabia "like you really mean it" sio sipendi alafu unamchekea, ukicheka na na nyani utavuna mabua mama ohh
Weka wazi kwa Mr wako kuwa huyo jamaa anakunyemelea then wenyewe watasort out as gentelmen.