yaliyomoyamo
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 603
- 452
Sipendi wanawake wenye chuki dhidi ya wanaume (sadist) unakuta yeye post zake zote ni kuwaponda wanaume! badilikeni basi
sipendi mdada namtongoza afu anakataa....
wale wanawake wanao chomekea madela kwenye kyupi wakati wa mvua
Mi sipendi tabia ya mtu kuwa na id yake humu hachangii mada yoyote hata kusema "hi" lakini kazi yake kwenda pm za watu kuwatongoza sipendi kabisa hii tabia kama ni wewe badilika!!!!!!!!
vp uongo wa wanawake unaupenda??