Sipendi - Special thread

Sipendi - Special thread

sipendi mi-south inachowafanyia raia wa nchi nyingine, mijitu mivivu haitaki kufanya kazi inataka iletewe tu kama makinda ya ndege...
 
sipendi wanaume wasiojua majukumu yao kama wanaume
sipndi wanawake wasiojua majkum yao kama wanawake na kujiona wao ndo wao kama hawajisaidi haja kubwa
 
Sifurahii MTU kwenda bar unalewa unazn na Malaya huko hali unafamilia asubuhi eti unajutia ulevi na shetan ndo chanzo
 
Sipendi wasauzi Afrika kuua waafrika wenzio.
 
If u have hate hate feelings...knows that you are mf snitch hater
 
sipendi thread za aina kama hii zinazokuza chuki..kwa nini usimwambie yeye unatuambia sisi...sipendi
 
Sipendi tabia ya mwanaume mnywa pombe alaf akirudi nyumbani usiku haogi, anapanda kitandani hvyo hvyo SIPENDI
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom