Tuwe wakweli wanawake wengine wanakera! Mfano unakutana leo na mwanamke hata ungempa hela kiasi gani cha ajabu kesho haachi kukubomu! Anadai hela kana kwamba kabla ya hapo hakuwa na maisha na sasa kakupata ndo maisha anayaanza! Dada zetu kweli wajue tabia hii ya kuomba omba hela inakera na inawapunguzia credit mbele za wanaume. Na mimi ukishaanza kuniomba omba omba hela nitaishia kukudharau tu. Omba kwa kiasi au nipe nafasi nami nifikirie na kutimiza wajibu wangu wa urafiki, eboo!