juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,475
Papuchi hakuumbwa nayo ili anipe kwa helaKwani wewe huombagi papuchi mkuu??
Gharamia upewe.
Unakosea kusema hivyo coz kama ndivyo mahari zisingelipwa.Papuchi hakuumbwa nayo ili anipe kwa hela
watoto wako watatu na mama zao wazimaa???na je bado unapenda ngono sana au umepunguza??Sijajua ni kwamba ni roho mbaya,au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke.sipendi mwanamke aniombe hela,yaani kama nina mwanamke harafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na.nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta.hata kama kaomba 4000.huwa naumia sana nikimpa.sasa sijajua hii maana yake nini
hujashikwa wewe kakaSijajua ni kwamba ni roho mbaya,au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke.sipendi mwanamke aniombe hela,yaani kama nina mwanamke harafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na.nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta.hata kama kaomba 4000.huwa naumia sana nikimpa.sasa sijajua hii maana yake nini
fyombo fyote ndio nini babaanguhujashikwa wewe kaka
hujashikwa kabisa
ukishikwa utahonga hata sofa za nyumbani kwenu. maana fyombo fyote utakua umehonga mwanammke
acha kabisa baba!
usithubutu kukutwa na watoto wwnaojua kushika wanaume!!!!
Watoto wangu hawajambo mkuu na hata mama zao ni wazima,ila ngono sijaacha mkuu bado napenda sana tuwale
watoto wako watatu na mama zao wazimaa???na je bado unapenda ngono sana au umepunguza??
madem wangapi broWatoto wangu hawajambo mkuu na hata mama zao ni wazima,ila ngono sijaacha mkuu bado napenda sana tu
Mahari na kuhongana ni tofauti sanaUnakosea kusema hivyo coz kama ndivyo mahari zisingelipwa.
Kwa hiyo hata kama ni mkeo akiomba hela za matumizi "humtaki tena na unafuta namba yake"?Sijajua ni kwamba ni roho mbaya,au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke.sipendi mwanamke aniombe hela,yaani kama nina mwanamke harafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na.nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta.hata kama kaomba 4000.huwa naumia sana nikimpa.sasa sijajua hii maana yake nini
Nimekwambia nina mke?? Kweli akili ni nyweleKwa hiyo hata kama ni mkeo akiomba hela za matumizi "humtaki tena na unafuta namba yake"?
You are not a husband material.
mimi mama akofyombo fyote ndio nini babaangu
Itabidi ubadilishe avatar yako,maana hata mimi nilidhani ni mwanaumemimi mama ako
namaanisha vyombo vyote mwanangu