Sipendi mwanamke anae niigizia

Sipendi mwanamke anae niigizia

jerrysonkiria

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
2,228
Reaction score
2,902
Nawachukia sana wanawake waigizaji kwenye mapenzi ,kitandani uniigizie ,hata maisha ya kawaida pia uniigizie?

Eti oooh!! Mi sipendi pesa zako na hukuti hata siku moja anakuomba hata mia tano ya vocha then anakutangazia kwa mademu wenzie ,mwanaume wangu mbahili hata hajawai kuninunulia vocha au hata kyupi ya mtumba !! ,


Sasa hata nikileta zawadi Unasema usitumie pesa zako ovyo mpenzi mi sipendi hivyo mpenzi wangu


Then unanisema mi mbahili what unamaanisha ??

samahani nimeongea kwa jazba kidogo
 
Hehehehee polee.....

Ila ukweli ni kuwa huyo dada hakupendi ila anashindwa tuu kukwambia achana na mie.... anakufanyia visa tuu.
 
Back
Top Bottom