Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
awe kama alivyo zaliwaWadau,
Sijui ni tatizo au mimi sipendi mchumba wangu avae khanga au sketi tukiwa wawili home napenda avae nguo fupi, nyepesi nyepesi vibukta vidogo kama profile picha yangu.
Je, wewe uwaga unapenda avaeje mkiwa wote home?
Una jinsia gani?Wadau,
Sijui ni tatizo au mimi sipendi mchumba wangu avae khanga au sketi tukiwa wawili home napenda avae nguo fupi, nyepesi nyepesi vibukta vidogo kama profile picha yangu.
Je, wewe uwaga unapenda avaeje mkiwa wote home?
Siri ya mtungi hioWadau,
Sijui ni tatizo au mimi sipendi mchumba wangu avae khanga au sketi tukiwa wawili home napenda avae nguo fupi, nyepesi nyepesi vibukta vidogo kama profile picha yangu.
Je, wewe uwaga unapenda avaeje mkiwa wote home?
Mimi huwa navaa hivyoWewe mwenyewe ndo unavaa hivyo?
Mimi huwa navaa hivyo
Unapenda?
Nimekustua kwanini?Mnhhh umenistua ujue?
uvae hivyo ukiwa na mimi tu...wengine jifunge kitenge
Nimekustua kwanini?
Navaa nikiwa na wewe tu
Naona unakumbushia kile kibukta nilichovaa ValentineNimestuka tu hadi nikafikiri Valentine day imerudi tena...
Naona unakumbushia kile kibukta nilichovaa Valentine
Ayaa navisubiriHahaa vibukta hivi itabidi ninunue vya kutosha ubadili rangi zote