Sipendi MASISTADU..

Sipendi MASISTADU..

blackgold engineer

Senior Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
107
Reaction score
70
Katika maisha yangu ya kimapenzi huwaga sipendi madem masistatu,,mademu kama hawa muda wote hua wanapenda KUPRITEND sana,,kuanzia sauti jinsi waongeavyo,,hata vitu wavifanyavyo,,pia hua wanajifanya wajuaji sana,,juzi nilikua na demu sistadu pale bar akawa ananiambie eti yeye anapenda REDDS na WINE tu,,------- sana yyule dada siwezi kumsahau..bora niende kwetu kongoe mie huku Mtoni kwa azizi ally sipawezi MADUU wengi sana,,MADUU SIWAPENDI..
 
Kama wote mkisema hamuwapendi watapendwa na nani? na hao ambao sio ma sister duu nao walipitia hukohuko. Rudisha moyo Mkuu na uwapende ni mapito tu.
 
Katika maisha yangu ya kimapenzi huwaga sipendi madem masistatu,,mademu kama hawa muda wote hua wanapenda KUPRITEND sana,,kuanzia sauti jinsi waongeavyo,,hata vitu wavifanyavyo,,pia hua wanajifanya wajuaji sana,,juzi nilikua na demu sistadu pale bar akawa ananiambie eti yeye anapenda REDDS na WINE tu,,------- sana yyule dada siwezi kumsahau..bora niende kwetu kongoe mie huku Mtoni kwa azizi ally sipawezi MADUU wengi sana,,MADUU SIWAPENDI..

Kila siku nawambieni chukueni watu wa level zenu! unakaa shamba unataka demu wa mjini!! huko shamba guest house ni kichakani au chini ya mti huku mjini ni nyumba ya ukweli ambayo ina wahudumu warembo pengine kuliko hata huyo sister du wako! shamba kuna penzi la kweli huku mjini wadada wanaangalia wallet kwanza sura mnavumiliana! Kongoe jamani na mtoni kwa azizi ally wapi na wapi? pombe umezoea ulanzi na mnazi wa shilingi 500/= leo uambiwe REDDS!
Kawida bro kuku wa shamba hawiki mjini!
 
unafanya show bhana,wine tu zaidi ya 60,000.
halafu unamwacha tu unajifanya si wa viwango vyako
 
Mkuu ni simple sana ukijua tu kudeal na mind zao, am talking about their psychology! Ukifahamu yaani hata hawatokusumbua, si unajua farasi uliyempanda hakushindi miondoko?
 
Awe sister duu,mrefu,mfupi,mwembamba,mnene,mzuri,mbaya wote papuchi zinafanana ladha ni ilele so unahangaika nini kipya mkuu.....?
 
Back
Top Bottom