And we needed to know because.....? Peleka kwnye Complaints and Congrats Forum...
mkuu sasa jamaa si alishavutasimpati aisee, wamenitumia undelivery report?
hahaha yani umenifurahisha sana. jaribu kutumia smart phone uizoee ndiyo utajua utamu wake. wajua ukizoea tumia simu zenye os za ukweli kama ios au android au wm hutatamani tena simu zenye embemed os kama hizo unazozisema. dunia inabadirika mkuu na inabidi uende nayo sambamba ni sawa mtu aje aseme daa mimi sipendi windows 7 yani windows 98 ya ukweli mimi naona windows 7 haina dili. test you will find out what i mean mkuu.
hata mimi natumia sgh-d780, lakini mpaka sasa nashindwa namna ya ku-attach picha. ebu nisaidiehaya masimu ya kisasa yenye sijui wifi na skype na windows 6, pamoja na ma iphone sijui siyapendi kabisa! ingawa yana features za kisasa zote, mengi ni aidha smartphones au touchscreen., kwanza ni vilaini, ukikaangusha tu kwishney, pili zimepotesa clasic identity yake, mfano, mi ni mpenzi wa samsung, tangu zamani nikiona menyu ya simu hata kwa mbali najua kama ile ni samsung, sasa hv kuna mchezo wa os za simu, zote zinafanana hata kama brand tofauti. halafu imagine simu ya touch inawekewa screen keypad za qwerty, sijui text unaandika vipi kwa raha! keyboard ya kawaida imeundwa kutoshana na fleksibility za vidole zetu, sasa zinawekwa kwa kablakberi au simu ya touch! mwenzenu candybar mpango mzima, kama samsung yangu sgh-d780!
Sawa huzipendi, kwani simu za tochi hazipatikani siku hizi? Ndo uzuri wa kuwa na choice.
hata mimi natumia sgh-d780, lakini mpaka sasa nashindwa namna ya ku-attach picha. ebu nisaidie