[HASHTAG]#Borrowed[/HASHTAG]
Jana nilipanda daladala, basi nikakaa kwenye siti nimejiachia kuchat. Kuna jamaa akawa katoa mimacho anasoma message zangu bila aibu. Yaani waziwazi anafuatilia ninavyo-chat.
Nikaona ngoja nimtie adabu..... Nikaamua nim-text jamaa, "Oyaa Sheikh Sharif! Ngoja niilipue hii daladala muda ushafika".
Yule jamaa akajirusha dirishani. SIPENDI MAMBO YA KIJINGA.