We hizo koma, nukta, n.k zitakusaidia nini?Mkuu! Hivi inakuwaje ktk maandiko yako huwa hufuatit japo kanuni za kawaida? Kama vile koma, kituo nk? Binafsi huwa navutiwa na hoja zako humu jamvini ila hapo tu!
Mkuu! Hivi inakuwaje ktk maandiko yako huwa hufuatit japo kanuni za kawaida? Kama vile koma, kituo nk?
Binafsi huwa navutiwa na hoja zako humu jamvini ila hapo tu!
Hiyo inaitwa Pdidy style, ndio iliyompa umaarufu humu jamvini, ukiona maandishi tu huna haja ya kuangalia jina unajuwa tu huyu ni Pdidy.Mkuu! Hivi inakuwaje ktk maandiko yako huwa hufuatit japo kanuni za kawaida? Kama vile koma, kituo nk?
Binafsi huwa navutiwa na hoja zako humu jamvini ila hapo tu!
Hujamjuwa Pdidy wewe bado, subili tu utapata burudani mpaka usuuzike, maana kuna wakati utadhani alikuwa anapost kitu huku anakimbilia daladala!!Msimlahumu sana Pdidy, inategemea anatumia kifaa gani katika kukuletea ujumbe huu, labda aina ya simu yake. maana ingekuwa laptop "it easily to control".

NIMESOMA BLOG MOJA HAWA WATU WANAJIITA SAIDIA SOMALIA NIMEBAHATIKA KUFANYA KAZI ZANGU NYINGI VIJIJINI WAPENDWA

LABDA NISIENDE MBALI KUNA VIJIJI VIKO PEMBEN YA BAGAMOYO NA VINGINE NDAN YA BAGAMOYO MSIONE RAIS WENU ANATUA NA MISAFARA YA MAGARI 20 ZILE NI LAANA NENDEN MKAONE WATU WALIVYOCHOKA WENGINE WANAFIA NYUMBA KUKOSA MLO KWA KUUMWA

LEO WANAINUKA HAWA MATAPELI SIJUI NIWIATE WANAFIKI HAPANA KUNA MH PEMBENI JE NI VIJIJI VINGAPI WANAKUFA NA NJAA.???NANI ASIEJUA VILE VIJIJI KULE ARUSHA LOLIONDO WALIOONYESHA NGOMBE ZINAKUFA KWA KUKOSA CHAKILA HUKU WATU WAKIWA MAJUMBA TAABANI WALIME WAPI WAPATE CHAKULA WAPI MAJANI YA MAHINDI YAMEWAKA KAMA AWAKO DUNIAN WAKAONYESHA MBYA KWENYE TELEVISION YA MH MMOJA NAMWONA HAPO AKUNA MPAKA LEO ALIEENDA KUSAIDIA KATIYA HAWA WANAFIKI ILA WAKITOA MILLION 400 KWA SACCOS AAAH UTAWASIKIA NA JIULIZA MPAKA MKAJIKOMBE SOMALIA MMEANGALIA KWENU KUKO SALAMA???JE WEWE UTAWAITAJE HAWA

Unaweza kua sawa au lah, lakini mi nadhani thamani ya msaada ipo palepale. Wameokoa maisha haijalishi ni ya nani, life is life.

Hiyo inaitwa Pdidy style, ndio iliyompa umaarufu humu jamvini, ukiona maandishi tu huna haja ya kuangalia jina unajuwa tu huyu ni Pdidy.

Hujamjuwa Pdidy wewe bado, subili tu utapata burudani mpaka usuuzike, maana kuna wakati utadhani alikuwa anapost kitu huku anakimbilia daladala!!
Sasaw ewe hapa ndio umejadili nini? kweli nyani halioni kundule,...........

MMEANZA MAJUNGU BADALA YAKUJADILI MADA