Ha ha ha.. JF ninavyoipenda nitakunywa sumu juu yake.. Hivi wewe Kongosho ulijua kuna mluga atakuja na maneno kama haya ukatayarisha kabisa hili jibu/swali lako..? Maana limeniacha hoi.. Ni zaidi ya jibu lol..
daaah brother upo Tatar kulea. watoto lakini? coz.....usipotumia izo ishu mademoiselle zako wote hao. ni mimba mwanzo mwisho, ushaur jifunze kutumia kidogokidogo.
Kuwa na mpenzi mmoja au uoe kabisa, sasa hupendi ndom afu unao wengi, hujihurumii?
Ila nakumbuka ilitoka mada moja humu, wengi hawapendi.... na hata wapenzi wao hawawashurutishi kutumia ndom, so hilo ni tatizo.