MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Hivi Hawa Watoto Anaewadanganya Kuishi Arusha ndio Uwe Mwendawazimu ni Nani? Hata Kama kuwa mbele Ya Mda Sio Kihivyo, Wanatudhalilisha Sana .View attachment albertomsando_20181013180920.mp4
Wanaume wa mikoani hao ndio wajanja wenu
Hahaha! Wanatuaibisha Kaka ZaoWaache machalii wa araaa arifu
Wachapeni waache usela maviHahaha! Wanatuaibisha Kaka Zao
Rafiki ni kitu gani? sijapakua, kile kile kilio changu cha MBhahahaha
unafikiri me nimedownload basi?? mi kama ww mb ndo kilio chetu dadaanguRafiki ni kitu gani? sijapakua, kile kile kilio changu cha MB
unafikiri me nimedownload basi?? mi kama ww mb ndo kilio chetu dadaanguRafiki ni kitu gani? sijapakua, kile kile kilio changu cha MB