Na nyie wizi wenu wa kura utawaumiza sana vipi hapo mnajiskiaje kutengwa na watu na mpo mnakaa kwa kujificha kama Digi digi pangoni hamna jipyaTEC kwasasa hawana jipya na hawatakua na jipya tangu mpango wao wa mapinduzi kufeli ni kama wame athirika ki saikolojia.
Duniani kote, mpango wako wa mapinduzi ya Serikali ukifeli tegemea malipo stahiki kwa serikali husika.
NI swala la muda tu.
Nani kakuambia hawana jipya? wangekuwa wanaandamwa hivyo?TEC kwasasa hawana jipya na hawatakua na jipya tangu mpango wao wa mapinduzi kufeli ni kama wame athirika ki saikolojia.
Duniani kote, mpango wako wa mapinduzi ya Serikali ukifeli tegemea malipo stahiki kwa serikali husika.
NI swala la muda tu.
Mapinduzi yakisha feli wengine wanavujisha Siri ndicho kinacho endelea, Wapo wanao vujisha Siri ya nanina nani walikua wahusika wakuu katika mpango wa mapinduzi na walikua waki husika vipi.Nani kakuambia hawana jipya? wangekuwa wanaandamwa hivyo?
Ujinga ni mzigo mzito sana, Nyie mnasena watu wenye vinasaba vya ku shabikia upinzani hawakupiga kura isipokua wale wenye vinasaba vya CCM na CCM wenyewe Sasa nani aliye ibiwa kura ikiwa wote waliopiga ni CCM!!Na nyie wizi wenu wa kura utawaumiza sana vipi hapo mnajiskiaje kutengwa na watu na mpo mnakaa kwa kujificha kama Digi digi pangoni hamna jipya
Nyie ndio hamna hoja kwanza ile siku hakuna watu waliopiga kura wakazidi hata elfu 10 nchi nZima jioni mliishia kujipigia kura wenyewe vituoni tu kwa kuubaka uchaguziUjinga ni mzigo mzito sana, Nyie mnasena watu wenye vinasaba vya ku shabikia upinzani hawakupiga kura isipokua wale wenye vinasaba vya CCM na CCM wenyewe Sasa nani aliye ibiwa kura ikiwa wote waliopiga ni CCM!!
Punguzeni u poyoyo.
Hamna hoja zenye mantiki
Kipindi hiki wamekula mabanzi ya kutoshaTEC kwasasa hawana jipya na hawatakua na jipya tangu mpango wao wa mapinduzi kufeli ni kama wame athirika ki saikolojia.
Duniani kote, mpango wako wa mapinduzi ya Serikali ukifeli tegemea malipo stahiki kwa serikali husika.
NI swala la muda tu.
Nani anajali!?..au kwa kuwa hutubu kwao unadhani Wana umuhimu kwa kila mtu!?..watoe tu tamko la tisa kisha waendelee kulewaNdugu zangu kutokana na kilichotokea october 29, siupatii picha waraka wakina padri kitima utakuaje aisee
Tayari highlights zishatoka. Ukatoliki halisi na ule ukatoliki wa madera na vijora njaaNdugu zangu kutokana na kilichotokea october 29, siupatii picha waraka wakina padri kitima utakuaje aisee