Ahsante tajitahidiNi namna ulivyojijengea..Ulijiwekea barrier..Jaribu kujisocialize na jamii inayokuzunguka..Utapata tu wa rika lako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauri wangu kwanza jarib kuwa social. Jichanganye na watu wa umri wako.
Kumbuka unavutia kutokana na unavyoishi. Umejitenga thats why wanao ku approach ni wazee wazee.
You are an introvent by personality.. thats why uko hivyo. Expand your social barrier. Utafanikiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaKwa niaba ya wanaume wa jf.. Weka picha
Sent from my SM-A605G using Tapatalk
[emoji16][emoji16]Kwa niaba ya wanaume wa jf.. Weka picha
Sent from my SM-A605G using Tapatalk
Thank you, ila hapo ndo weakness yangu. Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Na nashindwa jichanganya na vijana wezangu coz always wanapenda mitoko ya jioni na hicho ni kitu kwangu hakiezkani kutokana na wazaz wangu they are very conservative
Sent using Jamii Forums mobile app
Njoo PMThank you, ila hapo ndo weakness yangu. Mimi ni mtu mwenye aibu sana. Na nashindwa jichanganya na vijana wezangu coz always wanapenda mitoko ya jioni na hicho ni kitu kwangu hakiezkani kutokana na wazaz wangu they are very conservative
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi hao watu wazima, na wenye familia zao wanapokutongoza unawakubaliaJamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Jichanganye my usiwe kama mm mwenzio wananifuata bodaboda wa mtaan kwetu sababu sitoki nikitoka sana dukani, sokoni.
Hiyo ni irrelevantChura IPO?[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
kama ulipokea usisite kutoa tena
Ntajitahidi myJichanganye my usiwe kama mm mwenzio wananifuata bodaboda wa mtaan kwetu sababu sitoki nikitoka sana dukani, sokoni.
Nipo rikizo siendi kazini
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana sijawai kuwakubaliVipi hao watu wazima, na wenye familia zao wanapokutongoza unawakubalia
""...IF PIANO IS OUT OF TUNE, THE MUSICIAN WILL FAIL, NO MATTER HOW MUCH OF A MUSICIAN HE MAY BE...""
Daah ngoja nijaribu bahati yangu. Huenda ndo fursa hii. Nakuja mama PM tuchonge.Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice...
Utakua umenisaidiaSio lazima utoke kama wao hapana .bali kutembea tu.. labda kuwajulia hali.. kukaa nao mpige story. Sio lazima ufuate njia zao. Hapana.. be you.. lakin socialize in a different way.
Mm ni introvent kama ww.. no friends..na enjoy nikiwa mwenyewe. Kuna mambo nilifanya yalinisaidia kujichanga na watu but siwez yasema hapa. Pm nikupe tricks zitazo kusaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
kwakooo.. ila kwetu inamaana