Sawa kwahiyo hapa Jf unatafuta mme wa rika lako au unataka ushauri nini ufanye ili upate mme?Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life

Mimi ni binti mrembo tuuKwa niaba ya wanaume wa jf.. Weka picha
Sent from my SM-A605G using Tapatalk
Mkuu mimi ni agemate wako kabisa tuyajenge kama upo seriousJamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 25 unataka uolewe na miaka 25 mwenzako??
Kwanzia 40 wengi wana familia zao na wengine wana strong relationshipKwa umri wako ni vigumu kupata mwanaume wa rika lako wengi ndio wametoka chuo wanaanza kusaka maisha tafuta kuanzia 40
Nikipata hata adi 35 sina shida ila sipati, ninakua nacontact nao ni watu wazima kutokana na nature ya kaziMiaka 25 unataka uolewe na miaka 25 mwenzako??
Kwa haraka haraka na kwa maisha ya bongo , huo umri kwa kijana wa kiume ndo kwaaaanza anatafuta.
Alafu, toka umesoma mkuuu mpaka hapo uko mtaan hapa napale, uko kazin+ harakat za hapa napale sokon ,kutembea n.k ...hujapata tu.
Aya inamaana wee ulipozaliwa home tu...kazin unaenda sijui wazazi ..nahsuwkwatssowuagduejzvakqpaihqagabxkss
Kiukweli hueleweki ..hapa kuna walakini .
"Dume la Nyani haliogopi Umande"
Ahsante, ntajitahidi... Ila wazazi wangu wanpenda nisubiri posa ndo ije nyumbani. Na icho kitu mi sikitakiMwenzi atakuja tu, be yourself, kama unaenda kwenye nyumba za ibada , market place, kazini utakutana nao huko, all in all anza kuishi maisha yako acha kuishi maisha ya wazazi wako( simaanishi uondoke ukapange) try and be social, kama umemuona mtu pahala umevutiwa naye na anakidhi vigezo vyako, jiripue umfungukie!