Sipati picha ukumbi wa hivi uwe hapa bongo!

Sipati picha ukumbi wa hivi uwe hapa bongo!

Chachu Ombara

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
6,163
Reaction score
11,230
Huu ni ukumbi wa kisasa wa kuangalia movie ambao una vitanda na kila kitanda wanatumia wawili, mfano kimoja analala Chachu Ombara na miss chagga.

Vikija bongo si itakuwa hatari sana maana vitatumika kwa show time.

movie.jpg
 
Mstari wa mbele wa kwanza kushoto fulana rangi zambarau yuko peke yake.

Anajiliwaza na mkono kushika nyeti zake
 
ha ha aha bongo hapa watageuka waagizaji,,, huku movie ikiwa inajiangalia yenyewe
 
Muangalie jamaa aliyelala mwenyewe hapo mbele na mkono wake aliposhika mh!!
 
wabongo wakimaliza shughuli zao hapo wanaondoka na shuka kabisa!
 
Mstari wa mbele wa kwanza kushoto fulana rangi zambarau yuko peke yake.

Anajiliwaza na mkono kushika nyeti zake

Itakuwa walikuwa wanaangalia "picha kubwa" akaona isiwe tabu utamu anao mwenyewe!!
 
Mimi nikiangalia TV ktk mazingira ya kitanda haichukui robo saa nakuwa nshambonji!!
otherwise kuwe na "kiburudisho" kwa ubavu wangu.
 
Wengine naona wamelala same gender kulikoni? Au ndo mambo ya wazungu?
 
Mwenzake ameenda kujisaidia haja ndogo.
Sidhani, angalia mto wake mmoja tu, wa mwenzake ameubandanisha na wake kisha kaugemea na kiwiko. Ingekuwa yuko na mwenzake mto mwingine asingeubandanisha.

Halafu ninavyofahamu mimi theatre mara nyingi mtu kutoka huku filamu ikiwa bado inaendelea ngumu sana. Mtu yuko radhi kusubiri mpaka mapumziko au filamu itakapoisha au kama ni filamu mbili basi ujue mpaka amalize ya kwanza mapumziko kusubiria filamu ya pili hapo ndio muda wa kujisaidia.

Labda tu itokee dharura, sio rahisi filamu inaendelea kisha ukatishe kuangalia inakuwa unakatisha uhondo
 
Back
Top Bottom