Sipati picha Magufuli angelikuwepo mkutano wa viongozi wa Africa na Urusi

Waoga hao wanajua mzee Piutin ajaweka ulinzi wa kutosha na wanaweza kushambuliwa na mlipuko wowote kwa sifa alizokuwa anapewa Magufuri Kama simba wa Africa nna 100% angeenda
Magufuli asingekwenda huko.Anajua Putin ni Beberu lingine,linatumia njia ya kupinga Neocolonialism na lenyewe linafanya hayo hayo.Miafrika ilivyo mipumbavu imekuwa manipulated na Propaganda za Urussi.
 
May be
 
Magufuli kwa hilo anajielewa sana.Anasimama yeye kama yeye .Wao ndo wamfuate na si yeye awafuate.Yeye si ndo mwenye natural ressources bwana.Ninashangaa wamepanda ndege kwenda kupewa Nafaka wakati africa tuna ardhi safi kabisa.Tunaweza lima na tukawalisha urusi bila tatizo.
 
Sio ardhi tu mna kila kitu ila hamuwezi kuvitumia
 
Sina shaka na uwakilishi wetu wa viongozi wa bara la Africa na Russia, sina shaka na waziri mkuu Wetu kwa kutuwakilisha huko mkutanoni

Sina tatzo nini ataenda kuongea kwa hutuba yake kwa ujumla akipata nafasi

Ila navuta picha kama Magufuli angekuwepo na angeenda yeye mwenyewe kuhudhuria mkutano huo na angepata nafasi ya kutoa hutuba nafikiri angetuwakilisha mara 100 yake kwa uwakilishi wa waziri mkuu wa nchi

Najua angeiongelea Afrika vizuri sanaa na nafikiri ndio angekuwa kinara ukitoa waliohudhuria wote, najua angeongelea maslahi ya Africa kindaki ndaki

By the way nimependa sanaa uwakilishi wa kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, ametoa hutuba nzuri sanaa inayohusu Africa hutuba inasisimua sanaa na inatoka ndani ya moyo nafikiri ameibeba nafsi ya Magufuli kwenye mikutano hiyo namuona Magufuli ndani yake na namuona Magufuli akibubujikwa na machozi huku akihutubia kuhusu Africa kwenye hutuba hiyo kama angekuwepo

Wengi sanaa wanakuongelea vibaya Chief Magufuri Rest Easy ... siwezi kukutetea kwa lolote ila wapo wanaokukumbuka kama ulivyosema
Kiukweli kabisa asingekwenda!
Asingekwenda kwanza angehutubia kwa lugha gani?
Eti anabubujikwa machozi,unaye huko Mkuu?
 
Palee haukatazwi kuhutubia Kwa lugha yeyote unayeifahamu, wapo waliohutubia kifaransa,kingereza yaani lugha ambayo wewe unayoifahamu na haukatazwi Putin mwenyewe hajahutubia kingereza wanachokiamini wengi

Hata kiswahili kinge sound vizuri sanaa , changamsha ubongo huo, Ibrahim taraore amehutubia kwa kifaransa na ameeleweka vizuri tu

Kuhusu kwenda au kutoenda yeye mwenyewe angelikuwepo angethibitisha sio jambo letu tunamkadilia tu Kwa vilee hayupo
 
Kagame hawezi kwenda ,kuunga mkono urusi ni kujitafutia matatizo katika nchi yako
 
Sina shaka na uwakilishi wetu wa viongozi wa bara la Africa na Russia, sina shaka na waziri mkuu Wetu kwa kutuwakilisha huko mkutanoni

Sina tatzo nini ataenda kuongea kwa hutuba yake kwa ujumla akipata nafasi

Ila navuta picha kama Magufuli angekuwepo na angeenda yeye mwenyewe kuhudhuria mkutano huo na angepata nafasi ya kutoa hutuba nafikiri angetuwakilisha mara 100 yake kwa uwakilishi wa waziri mkuu wa nchi

Najua angeiongelea Afrika vizuri sanaa na nafikiri ndio angekuwa kinara ukitoa waliohudhuria wote, najua angeongelea maslahi ya Africa kindaki ndaki

By the way nimependa sanaa uwakilishi wa kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, ametoa hutuba nzuri sanaa inayohusu Africa hutuba inasisimua sanaa na inatoka ndani ya moyo nafikiri ameibeba nafsi ya Magufuli kwenye mikutano hiyo namuona Magufuli ndani yake na namuona Magufuli akibubujikwa na machozi huku akihutubia kuhusu Africa kwenye hutuba hiyo kama angekuwepo

Wengi sanaa wanakuongelea vibaya Chief Magufuri Rest Easy ... siwezi kukutetea kwa lolote ila wapo wanaokukumbuka kama ulivyosema
Magu kwanza hakuwa na uwezo kuongea kizungu vizuli
 
Kiukweli kabisa asingekwenda!
Asingekwenda kwanza angehutubia kwa lugha gani?
Eti anabubujikwa machozi,unaye huko Mkuu?

Hivi mnafatilia hiyo mikutano inayoendelea maana hili swali limekuwa ndio msingi wa huu uzi
Kiukweli huko unaongea lugha yeyote then watu wa kutafsir watakutafsiria

Putin mwenyewe hajaongea kingereza kwenye hiyo mikutano
 
Sina shaka na uwakilishi wetu wa viongozi wa bara la Africa na Russia, sina shaka na waziri mkuu Wetu kwa kutuwakilisha huko mkutanoni

Sina tatzo nini ataenda kuongea kwa hutuba yake kwa ujumla akipata nafasi

Ila navuta picha kama Magufuli angekuwepo na angeenda yeye mwenyewe kuhudhuria mkutano huo na angepata nafasi ya kutoa hutuba nafikiri angetuwakilisha mara 100 yake kwa uwakilishi wa waziri mkuu wa nchi

Najua angeiongelea Afrika vizuri sanaa na nafikiri ndio angekuwa kinara ukitoa waliohudhuria wote, najua angeongelea maslahi ya Africa kindaki ndaki

By the way nimependa sanaa uwakilishi wa kiongozi wa Burkina Faso, Ibrahim Traore, ametoa hutuba nzuri sanaa inayohusu Africa hutuba inasisimua sanaa na inatoka ndani ya moyo nafikiri ameibeba nafsi ya Magufuli kwenye mikutano hiyo namuona Magufuli ndani yake na namuona Magufuli akibubujikwa na machozi huku akihutubia kuhusu Africa kwenye hutuba hiyo kama angekuwepo

Wengi sanaa wanakuongelea vibaya Chief Magufuri Rest Easy ... siwezi kukutetea kwa lolote ila wapo wanaokukumbuka kama ulivyosema

Rest In Power
 
Back
Top Bottom