Sipati Notifications kwenye iPhone!

Sipati Notifications kwenye iPhone!

Shaabanrobert

New Member
Joined
Feb 6, 2020
Posts
3
Reaction score
0
Habari.. (Kwa mwenye ujuzi na hili swala).

Natumia iPhone 5SE iOS 14, Cellular haikubali ni Wi-Fi Only! Notifications sizioni hadi nikiingia kwenye app husika ndiyo zinatokea ila simu ukiilock notifications hazitokei... nimejaribu ku-Google na kujaribu njia mabalimbali lakini sijafanikiwa.

Naomba msaada.
 
nenda setting-notiffication-preview,weka alway.

IMG_0007.png

Mkuu tayari.. bado inagoma!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom