hivi inawezekanaje lowasa akasema kua yeye hausiki kwenye richmond?kwakuzingatia yeye ndo alikua waziri mkuu. Je iweje sasa anaanza kusema anataka kuwasaidia vijana wakati alikuepo madarakani na hakuonesha juhudi mufilisi kama anavyofanya sasa?
Ameshika nafasi mbalimbali kwenye serikali lakini hatukuona utendaji mzuri anaojinasibu kua nao. Angalau hata unaofanana na huu wa akina Mwakyembe na Magufuli.
Kwanini kasi ya kufanya viharambee imeshika kasi sasa kuliko wakati mwingine wowote ambapo alikuepo?na ukizingatia wakati wa uchaguzi umekaribia.
Watanzania tunahitaji kujiuliza maswali haya ya msingi tusisubiri kuambiwa sijui na viongozi wa dini au wa vyama tutumie akili zetu kutafakari siasa zao.
Ati wanaCCM Lowassa wanadai ni Jembe Lao lkn wakati wakipiga deal na JM sijui kwanini hakukataa kama aliona ni ufisadi.
Lowasssa TAPELI, JM TAPELI,CCM TAPELI
Ati wanaCCM Lowassa wanadai ni Jembe Lao lkn wakati wakipiga deal na JM sijui kwanini hakukataa kama aliona ni ufisadi.
Lowasssa TAPELI, JM TAPELI,CCM TAPELI
Nakuunga mkono 100% watanzania wepesi sana wa kusahau! Na zaidi Kikwete mwenyewe anakiri kwamba watu wanatumia pesa kununua uongozi na bado wao hawahoji zinatoka wapi.
Nakuunga mkono 100% watanzania wepesi sana wa kusahau! Na zaidi Kikwete mwenyewe anakiri kwamba watu wanatumia pesa kununua uongozi na bado wao hawahoji zinatoka wapi.
Lowasa anataka uraisi ili amalizie yale aliyoyaacha akiwa PM. Tulimuondoa kwenye uPM mapema mno. Hebu tumpe jamani ili aweke rekodi ya kukumbukwa milele. Yaani mtu kapiga kadili kamoja tu tunamng'oa! Tumpe hata miaka mitano bac arudishe hata hela zake za harambee.