Ujinga mtupu
JF-Expert Member
- Aug 16, 2017
- 854
- 1,896
Wanzanzibar washamba tu...Sisi wazanzibar wenyewe hatuna noma na mtu
ushawahi kula chakula cha mwanamke kutoka zanzibara weye tuanzie hapo
(Jokes)
Kwa upeo wako umeishia hapo wa akiliUna akili kuliko Nyerere na Karume sio?
Hao nao walikuwa watu tu, sio miungu...Una akili kuliko Nyerere na Karume sio?
Ningepewa uraisi cha kwanza ningevunja huu MuunganoSijuagi kwa nini tunalazimishanaga kuwa na ushost na hawa wazenji
Una akili fupi....hakuna mtu aliyebora zaidi ya mwenzake ni kitendo cha kuamua kumpa mtu mmoja superiority tu.Una akili kuliko Nyerere na Karume sio?
Una dhihirisha huko kichwani mwako kuko empty kabisa.Una akili kuliko Nyerere na Karume sio?
Akili fupiUna dhihirisha huko kichwani mwako kuko empty kabisa.
Nyie ndio wale wajinga mnao amini Nyerere alikuwa na akili kuzidi watanzania wote.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Tatizo linakuja Hupewi sasaNingepewa uraisi cha kwanza ningevunja huu Muungano
Yaani kiukweli kilichotokea tarehe 26/04/1964 kati ya Tanganyika na Zanzibar, kilikuwa ni Ujinga mtupu!!Huu muungano ni Ujinga mtupu
Du nimekumbuka jina la bashite from kolomijeHao nao walikuwa watu tu, sio miungu...
Nidhamu ya woga imetuharibu sana, hata kipindi cha Bashite ukimkosoa utasikia "una akili kuliko bashite sio?" Na hapo akili imewekwa kivuli tu ila ukweli ni kwamba inazungumziwa power ya kukuweka jela, kukuadabidha kwa vyombo vya dola, n.k.