Baadhi ya watu waliopata nafasi ya kusoma wanaona Elimu haina maana na wale ambao hawakusoma na maisha ni magumu wanaona bora wangesoma..Which is which??
ww umeshajua destination yako ila umeamua kuwa msumbufu tu.....kama unahisi chuo sio muhimu huo ni mtazamo wako...ila ijue mitaa kwa walio mitaani mjomba utalia na kusaga meno
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.