Sioni umuhimu wa kwenda chuo

Sioni umuhimu wa kwenda chuo

Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote

Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo

Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.

Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa

Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.

..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache

( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
kama elimu ni gharama jaribu ujinga
 
Dogo nakushauri ukafanye kitu roho yako,inakipenda, achana na elimu za kukariri..
Waliotoka n Matajiri woote wamefanikiwa baada ya kujitambua na kutumikia kile wanachokipenda..

Woote wanaokushauri,ukasome wakat wew unajiona huna mood na kusoma wamekariri tu..kiukwel ni kuwa shulen tunaenda kufuata utaratbu,na kutokana na maneno,ya jamii kuwa shule ndo,kila kitu ila si kweli.

Siri ya Maisha ya Mafanikio ipo moyoni mwako kupitia kipaji chako , Nenda kakifanye hicho kwa ukamilifu,na nguvu zako zoote utafanikiwa na utakuja nambia
Maneno ya maana sana haya mkuu.
 
Mungu wangu unadharau shule, yani wenzako tunashukuru kweli wazazi kutupeleka shule ingawa hatujajiliwa ila elimu tuliyoipata tunarainisha tu mjini
Tunawanyonya tu waliokataa shule nakujifanya wajanja wa mjini watafutaji

Tukienda kwenye uagent wa mabus basi kwakuwa tuna shule tunawapiga sound wenye magari sisi tunakuwa ndio maboss hawa ambao hawajasoma ndio wankomaa na mavitabu uko sisi kiulanini tunakula commission

Tukienda kwenye udalali sisi tuliosoma tunafungua kikmpuni uchwara hawa ambao hawajasoma ndio kutwa tunawatembeza kutafuta kiwanja nyumba nk sisi kiulaini tunakula pesa

Tukija kwenye boda boda basi sisi tuliosoma ndio vinara wakuamdika barua kwa wenyeviti wa mtaa nk ili tutambulike basi tunawachangishaje buku buku hawa boda ambao hawajasoma maana wanatuamini so ungozi yupo sisi kuku tu kila siku tunaoanga mipango ili tuchukue michango

Mitandaoni sasa ndio usiseme hatuogopi kulipa $10 ili tuingie website za dating tunawapigaje mabibi ya kizungy

Ukienda page za fund rising uko yupo na viproject vyetu vya uongo na kweli yani kwa mwezi ukosi $ 300 yani unadharau shule

Acha kukaa na wajinga wajinga wewe unadharau shule

Shule mtaji wewe, yani unataka usome uteseke acha ufala, yani anataka uwe kama vijana wa leo yani mtu ana degree or masters anafuga kuku, au unauza mchele kama masanja mkandamizaji unajipiga na picha unapeleka mchele😁😁😁 wakati kuna vijana hawajasoma unawembia sambaza mchele huu nakupa elfu tatu kwa siku na anakomaa kusambaza pumbafu acha wasio soma wafuge kuku watembeze mchele wewe msomi tafuta soko la kuku, soko la mchele njoo mdalalie uyu mfugaji mnyonye kisawa sawa siyo msomi ufuge kuku sijui nani

Ebu stuka wakoloni walitufanya nini

Umadharau shule haya acha uje tukutumie wenzako uku
 
Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote

Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo

Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.

Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa

Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.

..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache

( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
upo sahihi kwa 100% ila tu ni nini umepanga kwenda kufanya? na una wazazi? kama unao umewashirikisha vipi kuhusu hii ndoto yako na wamesemaje? ni vizuri lakn muhimu ujue pakuanzia na nn utafanya, mtaani fursa zipo na changamoto ni nyingi lakn kuzikabili inawezekana ila kuna changamoto za sera ya nchi pia so fanya utafiti kwanza nn unataka ufanye na uko mbele itakuaje.
 
Amesoma Scotland mkuu(Chartered Accountant).

Ni kweli na pia alikua mwenyekiti wa Mwanzo wa NBAA.,na hata yule binti yake Regina nae pia ana CPA na watu wengi hawajui hili.
Wanasema ndio watu wa mwanzo mwanzo lulamba CPA
 
Ni kweli mkuu
Lakini hapa najiongelea Mimi kama Mimi
Naomba maoni yako kwangu Mimi juu ya hayo malengo yangu mkuu
Kutokwenda chuo na uwezo unao ni fursa pia unayoiacha kisa Haiku guarantee mafanikio,
SWALI: Je huko mtaani kuna Guarantee ya mafanikio ? ? Ukijitosa halafu miaka nenda rudi hujafanikiwa Itakuwaje ? ?
 
Kutokwenda chuo na uwezo unao ni fursa pia unayoiacha kisa Haiku guarantee mafanikio,
SWALI: Je mtaani huko mtaani kuna Guarantee ya mafanikio ? ? Ukijitosa halafu miaka nenda rudi hujafanikiwa Itakuwaje ? ?
Mkuu kote huko naona ni 50 kwa 50 hamna sehemu inanipa guarantee
 
Dogo usifuate ushauri wa wadau wala emotions zako sasa hivi..
Haya maisha hakuna mashindano wala hakuna sehemu tunawahi.

Wewe fanya ufaulu kwanza hio form 6 kwa point kali then nenda chuo kozi kali..
Komaa umalize then ukiwa na cheti chako mkononi utaamua ufanye nini.!
Kama ni kuendelea na mishe au kuendelea na professional yako uliyosomea..

Kwa sasa ukiwa unakula ugali wa shule huwezi jua kitaa kilivyo jipe muda ukiwa chuo usome kitaa kilivyo ...inawezekana hayo maamuzi sasa ni emotions tu za umri wako
 
Nashukuru sana mkuu
Ushauri maridhawa kabisa
Much thanks
 
Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote

Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo

Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.

Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa

Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.

..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache

( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
Maisha nyota tu....sasa ww ukifkiri kuwahi kwenda mtaani ndo utawahi fanikiwa kuliko alieenda shule umepotea....
Kwn kuna watu wangap hawana degree na wapo mtaani zaidi ya miaka na miaka bila chochote....wanaunga unga tu visenti....
Lakini mtu ukisoma hata kama ukikosa kazi lakini una vyeti vyako pembeni huwez jua chance yako ya kutumia vyeti vyako vitakuja lini?
Inaeza ikafika siku ukajuta baada ya mwelekeo wa nchi kubadilika na ajira zikawa za kumwaga
 
Walionibeza nilipoenda Chuo wao walifanya biashara ya Tanzanite Arusha leo nimewaajiri kwenye daladala kama makonda.
 
Back
Top Bottom