Sioni umuhimu wa kwenda chuo

Sioni umuhimu wa kwenda chuo

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,513
Reaction score
9,553
Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote

Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo

Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.

Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa

Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.

..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache

( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
 
Wazo zuri kabisa hilo
Ukimaliza nenda Veta kuna vitu vingi utajufunza kwa gharama nafuu unaingia mtaani
 
Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote

Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo

Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.

Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa

Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.

..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache

( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
Aiseeeeeee... yaaani wewe chuo umeshamaliza muda sana, sema mtaaa umekupiga Ile mbaya unajifanya kuleta kauli za nkosaji
 
Nina Degree nasioni umuhimu wake niliajiriwa nikaacha now nimejiajiri mwenyewe najuta kwann nilipoteza mda chuoni Elimu ya Tz nikupoteza tu mda haikufanyi uwe na mtazamo wa mbali si umeona unasoma sayansi hata picha huoni zaidi ya kumeza na vilichoachwa na mzungu Karne na Karne siunamuona Bakhresa Hana Degree hata moja ila hakamatiki
 
Ushauri wangu, ukimaliza form 6 tafuta kazi yoyote ile yenye mshahara mzuri fanya kama miaka 2 au 3 muhimu ktk hiyo miaka mi 3 uwe umekusanya pesa. Baada ya hapo jiajiri mwenyewe/fanya biashara yoyote unayoona inalipa. Hata watakaomaliza chuo watakuja kuwa waajiriwa kwako. Chuo itakupotezea muda na kazi zenyewe za kujuana.
 
Aiseeeeeee... yaaani wewe chuo umeshamaliza muda sana, sema mtaaa umekupiga Ile mbaya unajifanya kuleta kauli za nkosaji
Hapana sileti kauli za mkosaji ila naogopa kutokuwa mkosaji

Amini nipo form six mkuu
 
Mali bila daftari.....
marehemu mengi mwenyew alienda chuo wakina dewji wenyew ndio kabisa sasa wewe komaa hivy hivy
Sawa mkuu ila kwani kufika hadi kidato cha sita sio elimu hiyo ?
Unamjua Bhkressa lakini ?
Japo kuwa sina ndoto za kuwa kama Dewji.
 
Ni kweli huwa tunasoma ili tupate maisha mazuri, kiasi kwamba tukisoma halafu maisha mazuri yakawa hayaonekani huwa kuna kukata tamaa fulani.Kusoma sio guarantee ya kufanikiwa kimaisha.

Binafsi huwa siufagilii ujinga wa kushauri watu wasisome eti kisa ukisoma sio guarantee ya kufanikiwa kimaisha.

Kiuhalisia bila elimu hakuna maisha mazuri.Bila elimu hakuna walimu,hakuna madaktari,hakuna wanajeshi,hakuna ustaarabu etc.
 
Ni kweli mkuu
Lakini hapa najiongelea Mimi kama Mimi
Naomba maoni yako kwangu Mimi juu ya hayo malengo yangu mkuu
 
Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote

Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo

Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.

Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa

Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.

..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache

( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
Kama

Kiongozi kwani lazima uendee na pia hayo ni maisha yakoo ,you may have selectionns
 
Nina Degree nasioni umuhimu wake niliajiriwa nikaacha now nimejiajiri mwenyewe najuta kwann nilipoteza mda chuoni Elimu ya Tz nikupoteza tu mda haikufanyi uwe na mtazamo wa mbali si umeona unasoma sayansi hata picha huoni zaidi ya kumeza na vilichoachwa na mzungu Karne na Karne siunamuona Bakhresa Hana Degree hata moja ila hakamatiki
Elimu muhimu ni kuanzia msingi hadi form 4 inakufunua mengi sana, huko Form Six na Chuo kwenyewe sina uhakika kama kumenisaidia sana
 
Upo sahihi dogo, hata hiyo form five na six hukutakiwa kusoma, elimu ya darasa la saba inatosha kabisa kupambana mtaani
 
Igweeeeeeeeeeeeeee
Salamu wana JF wote

Kuna jambo linanitatiza sana kichwani nimeona niwashirikishe na nyie nipate maoni yenu kidogo

Mimi ni kijana mdogo tuu niko bado nahangaika na elimu ya sekondari nipo kidato cha sita.
Nimekuwa nikijitahidi sana kusoma sana (kupiga msuli haswa) kuanzia nipo O level hadi kipindi hichi lakini tatizo ni kwamba sioni kabisa fani ninayotamani kuifanya kupatikana shuleni.

Nikiangalia masomo ninayosoma ni ya sayansi lakini sijioni kabisa kama daktari naona kabisa kutibu mtu kwangu itakuwa kazi sana wala sina moyo wa kuifanya hiyo kazi kabisa

Nina malengo baada ya kumaliza kidato cha sita nifanye mambo mengine lakini sio kuendelea na chuo natamani baada ya kumaliza kidato cha sita 2020 nikajitose kibaharia zaidi mtaani sababu fursa naziona nyingi huku niishipo ( moshi )
Niko njema darasani.

..Tunaishi Mara moja tuu
..Time is too short to take little shots
..mambo ni mengi mda ni mchache

( die trying or get rich )
NB
Naomba maoni yenu wana JF
Dogo nakushauri ukafanye kitu roho yako,inakipenda, achana na elimu za kukariri..
Waliotoka n Matajiri woote wamefanikiwa baada ya kujitambua na kutumikia kile wanachokipenda..

Woote wanaokushauri,ukasome wakat wew unajiona huna mood na kusoma wamekariri tu..kiukwel ni kuwa shulen tunaenda kufuata utaratbu,na kutokana na maneno,ya jamii kuwa shule ndo,kila kitu ila si kweli.

Siri ya Maisha ya Mafanikio ipo moyoni mwako kupitia kipaji chako , Nenda kakifanye hicho kwa ukamilifu,na nguvu zako zoote utafanikiwa na utakuja nambia
 
Back
Top Bottom