Nimekuwa nikifuatilia kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni binafsi naona hakuna haja ya kuwa na kipindi hiki kutokana sababu zifuatazo:-
- Mengi ya majibu yanayotolewana Wahe. Naibu au Mawaziri ni tofauti kabisa na swali lililoulizwa.
- Majibu yanayotolewa kwa maana ya ahadi hayatekelezwi na wajibu maswali na hatimaye kuwafurahisha wauliza maswali.
- Majibu yanayojibiwa kwa maswali ya nyongeza ni tofauti kabisa na majibu ya swali la msingi.