Sioni Nafasi ya Simba Kupita Mbele ya As Vita

Hii mijitu kwa kuweweseka. Mjinga wa kwanza aliweka mke akashindwa ikabidi asamehe ingawa mke hakushiriki ujinga wake akaenda kwao.
Wa pili akadai ataosha gari la Simba wakamsamehe.
Watu tatu akasema atatembea uchi akasepa mtaa mpaka leo.
Wanne kadai atakuwa shabiki wa Simba kwa mwaka mmoja. Kakimbia uzi wake.
Mjinga wa mwisho akasema atajing'ata mgongo!
Hao mazuzu hayakomi yawekuwa kama kenge mpaka yatoke damu.
Ujima ni ujahili na Ujahili ni maradhi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom